Umewahi muona paka wa aina hii? Anaitwaje kwa Kiswahili?

Umewahi muona paka wa aina hii? Anaitwaje kwa Kiswahili?

Jangu lubhaka.
Ni paka wa kawaida tu sema baadhi ya jamii hasa kwetu Ujitani akizaliwa paka wa namna hii anafanyiwa figisu sana,yaani anakuwa na maisha ya mwituni huku nduguze wakinywa maziwa na asali hali inayopelekea kuwa adui mkubwa wa kuku,binadamu.

Nadhani kwa Kiswahili huyu ndo PAKA SHUME.
Hapana mkuu,huyu paka pori ni tofauti kabisa na hawa wa kufugwa
 
Jamii hiyohiyo ila sio paka

Mkuu sisi waswahili tumekosa maneno kiasi kwamba tunadhani neno paka huwakilisha mnyama 'nyau', lakini paka "cats" ni jina linalobeba familia ya aina ya wanyama wengi ambao kwa pamoja huitwa paka...
Wapo wengi kama simba, simbamangu, duma, chui, mondo, 'jaguar', 'puma', domestic cat (huyu ndio paka wa nyumbani)
 
Anazaliwa ila anaitwa "Kimbulu" hafugiki huyo anatabia za wanyama wa mwituni anakula vifaranga hatari.

Akizaliwa anapigwa rungu hapo hapo that is why ni adimu kupatikana
Ila Waafrika ni makatili!!
Sasa unampiga rungu mnyama kwa kuzaliwa ili iweje,
Hili Bara ndio maana haliendelei, hatujastaarabika hata kidogo
 
Ila Waafrika ni makatili!!
Sasa unampiga rungu mnyama kwa kuzaliwa ili iweje,
Hili Bara ndio maana haliendelei, hatujastaarabika hata kidogo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣day!
Mimi huwa nadhani kwetu ni makitili sana kwakuwafukuza paka wa namna hiyo nyumbani wakishaanza kujitegemea lkn kwao mwamba wametisha sana,runguuu baada ya kuzaliwa tu?
 
domestic cat (huyu ndio paka wa nyumbani)
Nakuelewa mkuu, hata hu
Mbwa, Paka Simba, Chui, Duma, Tiger, Dubu, na wengineo kundi lao wanaitwa wanyama jamii ya paka. Hako kajamaa hapo hakana uwezo japo wakumkamata Digidigi.

Mbwa, Paka Simba, Chui, Duma, Tiger, Dubu, na wengineo kundi lao wanaitwa wanyama jamii ya paka. Hako kajamaa hapo hakana uwezo japo wakumkamata Digidigi.
Paka wa ndani anaweza kukutafuna wewe sijui km ushawai kukaa na hao wanyama.
 
Labda sikuzingatia umbo lake kwa maana ya ukubwa.
Lkn hata paka wa kawaida huzaa watoto wenye rangi za namna hii.
Kwetu nimewashuhudia sana wakizaliwa sema ndo hivyo ni lazima atimuliwe nyumbani.

Hao wanafanana na huyo Serval Cat wanaitwa Savanah Cats, ni breed ya Serval cat na domestic cat walipandikizwa karne ya 20 huko akatokea Savanah Cat, huyu Savanah anafugika ni mpole na mwenye akili,

Ukiona kazaliwa nyumbani ujue anafugika sio wale wa porini.

Wikipedia.
 
Ni kweli anafugika.
Kilicho7bisha mimi kugundua kuwa zile tabia za mwituni hutokana na kugeuzwa kuwa adui tulimpuuzia mmoja akaishi tu nyumbani,alikuwa vyema tu km wengine,mlinzi,muaminifu na msafi pia. Sema zile imani zetu dhidi ya paka wa rangi hizi ndizo upelekea na wao kubadili mienendo ili waishi.
 
Savanah Cats,(wanafugika)
Hawa ndio huzaliwa nyumbani lakini jamii zilizokosa ustaarabu wanazipiga rungu wafe ama kuwafukuza wakaishi porini wakiwafananisha na Serval Cats (Paka wa Porini wasiofugika)
1200px-Savannah_Cat_portrait.jpg
F2-savanna-cat-indoor_Kolomenskaya-Kseniya-Shutterstock.jpg

Edit: Picha ya chini kabisa ni serval cat, imejiweka bahati mbaya
 
Attachments

  • JamiiForums323280926.jpg
    JamiiForums323280926.jpg
    157 KB · Views: 4
Back
Top Bottom