Umewahi muona paka wa aina hii? Anaitwaje kwa Kiswahili?

Umewahi muona paka wa aina hii? Anaitwaje kwa Kiswahili?

Ni kweli kuna siku paka wangu alishaleta nyoka mzima hapa home 😂😂 sasa sisi kuona ivo tukatoka nduki. Nae kuona tumetoka nduki nae akatoka nduki na kumuacha nyoka ndani😬😆 sasa sijui alikua anakimbia nn
Kaona mabosi wanatoka baru ye kaunga tu😅😅😅
 
Niliwahi kumuona anapita juu ya ukuta tukakutana uso kwa macho, nikamuita ule mlio anaoitwa paka alitoka ndukii, sijamuona tena hadi leo. Nilisikitika sana maana nilitaka tuongee japo kwa dakika kadhaa nimpe na chakula pia. 🥲
[emoji28] ulitaka umwambie nini?
 
Jamii hiyohiyo ila sio paka ni wanyama hatari sana hao.
Sema hawapendi kula bin adamu.
Mkuu nilipishana nae selous porini sana huko kaniangalia tu napita niko peke yangu sina hata silaha.
Angekua na nia mbaya angepiga meno ya kutosha, sijamsumbua hajanisumbua alikua kajilaza juu ya mti
Bila picha hii comment ni batili...
Alisikika,
Jamaa mmoja wa afrika mashariki ya kati🤣🤣😂😂😂
Napita tu 🤚
 
Niliwahi kukutana nae uso kwa uso juu ya ukuta
Nilipiga yote nikajua mtoto wa cheetah
[emoji28][emoji28]
 
Jangu lubhaka.
Ni paka wa kawaida tu sema baadhi ya jamii hasa kwetu Ujitani akizaliwa paka wa namna hii anafanyiwa figisu sana, yaani anakuwa na maisha ya mwituni huku nduguze wakinywa maziwa na asali hali inayopelekea kuwa adui mkubwa wa kuku, binadamu.

Nadhani kwa Kiswahili huyu ndo PAKA SHUME.
Umenikumbusha nje ya mada

Pilipili kichaa ndio pilipili HOHO
Screenshot_20230328-095254.jpg
 
Back
Top Bottom