Sio Puma na wala sio Duma hako ni jamii flani yao na hao kana umbo dogo tu kama la Mbwa kanaishi maporini misosi yake ni, ndege, panya, na fuko.Puma (duma)sio paka huyo anakutafuna mchana kweupe ukikutana nae anga zake.
Alafu kidwahili ndio nini?
Elimu, elimu , elimu
Ujuaji, ujuaji, ujuaji.Mkuu umeshindwa kugundua kuwa S na D zipo karibu kwenye keyboard
😆
Hapana mkuu,huyu paka pori ni tofauti kabisa na hawa wa kufugwaJangu lubhaka.
Ni paka wa kawaida tu sema baadhi ya jamii hasa kwetu Ujitani akizaliwa paka wa namna hii anafanyiwa figisu sana,yaani anakuwa na maisha ya mwituni huku nduguze wakinywa maziwa na asali hali inayopelekea kuwa adui mkubwa wa kuku,binadamu.
Nadhani kwa Kiswahili huyu ndo PAKA SHUME.
Jamii ni hiyo sio paka huyo ni mnyama aisee kaa nae mbali na usiweke karibu na watoto.Sio Puma na wala sio Duma hako ni jamii flani yao na hao kana umbo dogo tu kama la Mbwa kanaishi maporini misosi yake ni, ndege, panya, na fuko.
Kwani Paka ni ndege?Jamii ni hiyo sio paka huyo ni mnyama aisee kaa nae mbali na usiweke karibu na watoto.
Jamii hiyohiyo ila sio paka
Paka anakuwaje ndege?Kwani Paka ni ndege?
Ila Waafrika ni makatili!!Anazaliwa ila anaitwa "Kimbulu" hafugiki huyo anatabia za wanyama wa mwituni anakula vifaranga hatari.
Akizaliwa anapigwa rungu hapo hapo that is why ni adimu kupatikana
Mbwa, Paka Simba, Chui, Duma, Tiger, Dubu, na wengineo kundi lao wanaitwa wanyama jamii ya paka. Hako kajamaa hapo hakana uwezo japo wakumkamata Digidigi.Jamii ni hiyo sio paka huyo ni mnyama aisee kaa nae mbali na usiweke karibu na watoto.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣day!Ila Waafrika ni makatili!!
Sasa unampiga rungu mnyama kwa kuzaliwa ili iweje,
Hili Bara ndio maana haliendelei, hatujastaarabika hata kidogo
Nakuelewa mkuu, hata hudomestic cat (huyu ndio paka wa nyumbani)
Mbwa, Paka Simba, Chui, Duma, Tiger, Dubu, na wengineo kundi lao wanaitwa wanyama jamii ya paka. Hako kajamaa hapo hakana uwezo japo wakumkamata Digidigi.
Paka wa ndani anaweza kukutafuna wewe sijui km ushawai kukaa na hao wanyama.Mbwa, Paka Simba, Chui, Duma, Tiger, Dubu, na wengineo kundi lao wanaitwa wanyama jamii ya paka. Hako kajamaa hapo hakana uwezo japo wakumkamata Digidigi.
Labda sikuzingatia umbo lake kwa maana ya ukubwa.
Lkn hata paka wa kawaida huzaa watoto wenye rangi za namna hii.
Kwetu nimewashuhudia sana wakizaliwa sema ndo hivyo ni lazima atimuliwe nyumbani.
Anaitwa paka mapepeHuyu paka anapatikana sana Africa, ikiwemo Tanzania. Kwa kiingereza anaitwa serval cat. Umewahi muona? Anaitwaje kwa kiswahili?
View attachment 2568245View attachment 2568246
Thread closedNi jamii ya paka ila hawezi zaliwa nyumbani na paka wa kawaida huyo ni paka wa porini hafugiki kitahisi hana tofauti na chui p
Muongee kwa dakika chache au sio😂😂Niliwahi kumuona anapita juu ya ukuta tukakutana uso kwa macho, nikamuita ule mlio anaoitwa paka alitoka ndukii, sijamuona tena hadi leo,
Nilisikitika sana maana nilitaka tuongee japo kwa dakika kadhaa nimpe na chakula pia. 🥲
Mh!! Huu mtumwi wa vibwengo ngoja nifanye mambo mengine.Nakuelewa mkuu, hata hu
Paka wa ndani anaweza kukutafuna wewe sijui km ushawai kukaa na hao wanyama.
Leptailurus serval=Mondo kwa kiswahiliHuyu paka anapatikana sana Africa, ikiwemo Tanzania. Kwa kiingereza anaitwa serval cat. Umewahi muona? Anaitwaje kwa kiswahili?
View attachment 2568245View attachment 2568246
Ni kweli anafugika.Hao wanafanana na huyo Serval Cat wanaitwa Savanah Cats, ni breed ya Serval cat na domestic cat walipandikizwa karne ya 20 huko akatokea Savanah Cat, huyu Savanah anafugika ni mpole na mwenye akili,
Ukiona kazaliwa nyumbani ujue anafugika sio wale wa porini.
Wikipedia.