Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimuona mwambie namtafuta...Tarehe nzuri hizi yuko busy kila kitu kizuri atataka anunue
Nitamfikishia ujumbe.Ukimuona mwambie namtafuta...
Kama ratiba zako zinaruhusu sawa...Nitamfikishia ujumbe.
Sasa J3 si tunaenda KFC
Itabidi ziruhusu hamna namnaKama ratiba zako zinaruhusu sawa...
Kwa ulaku wako wa kuku hata kazini unaweza toroka 🤣Itabidi ziruhusu hamna namna
Usinitafute, sijapotea mieUkimuona mwambie namtafuta...
She’s busyKama ratiba zako zinaruhusu sawa...
Bali umepotezwa au?Usinitafute, sijapotea mie
Nishamaliza hela, nakusubiria kwenye kuchukia mweziTarehe nzuri hizi yuko busy kila kitu kizuri atataka anunue
Hakika, hutaweza kuuchukia mwezi...Nishamaliza hela, nakusubiria kwenye kuchukia mwezi
NimekamatwaBali umepotezwa au?
Ngoja nikufuate...Nimekamatwa
Niko sentro
Nmevunja mayai ya watu 😫
Yes i will be so busy, nilisahau ratiba ya J3