Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

Binafsi nimefanya uchinga...acha mze nilikuwa napiga route hizoo ni balaa jioni nikirudi gheto nanunua barafu naweka kwenye maji miguu ili ipoe
 
Sasa hv upo nchi gani??

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kariakoo -Kawe, ilikuwaje ungana na mimi 2015 kuelekea 2016 sina ili wala lile hapo kula kulala kwa baba na mama,

Siku 1 nilikuwa na ahadi ya kumeet na demu wangu yeye anatoka pale kurasini ufundi kota enzi hyo anasoma marian girl alafu ni mwezi wa 6 likizo ndefu

Basi baba ako nikapanda gari fresh tu hadi kariakoo tukameet tukafanya mizunguko yetu pale balaa likaanza baby mm nataka tukapumzke sehemu nmechoka uzuri demu wangu hakuwa na Tamaa

Ila mm sasa Mr.misifa nikataka nimpeleke KFC pale kituo cha zamani bakhresa karbu na salama bearing opposite na sheli ya puma

Mfukoni nina 7K tu na pale ile portion ya kuku na chips ni 5K soda yao 1K jumla ni 6K nikabaki na 1K sasa uwezi kuwa na demu yeye ale ww usile lazma angalau ninywe chochote na nikajitusu kunywa soda ya buku weeh nikabaki empty

Tukaboll paleee kwa muda mm nawaza tuuu hapo narudi vp home kawe siwez kuomba nauli
Basi baada ya muda tukaagana yeye anarud kurasini ufundi mm kawe kilichotokea ni huu uzi hapa kwa sasa yule binti yupo IFM mwaka wa pili ni mjaluo anaitwa patricia ana akili balaaaa na mm ndo nilimvunja bikr***** pale Marian girls bagamoyo aligonga dvs 1 ya 9.

Sent from my iPhone 15 pro max.
 
Coco beach - Mtoni Mtongani
 
Dogo umefungua codes zote, jinga kabisa
 
Moro to Dom, kisha Rumonge to Bujumbura! Ngoja niishie hapa, safari ilikuwa kupata hati flani ya Ukimbizi watu wakajichanganye mbele mbele huko, nakumbuka nafasi zikatoka za Australia, Canada na Libya ( kipindi cha Gaddafi ) nikapangiwa Libya, Sikwenda.
 
Bure ilikuponza. Kuna mwamba aliweka rekodi zake hapa za kukata mwendo kwa miguu
 
Nimewahi kutembea kwa miguu kutoka keko hadi kinondoni biafra na kurudi tena keko juu, pia kutoka makumbusho hadi ubungo kwenda na kurudi. Pia kutoka makumbusho hadi kivukoni kwenda na kurudi kupitia barabara ya bagamoyo/ally hasan mwinyi. Ruti nyingine ni makumbusho to kawe, makubusho to bunju bila kusahau ruti zingine za masafa ya kati na mafupi jijini dar. Jiji la dara nililiona kama kijiji fulani cha kwetu kwa kulitembea kwa miguu ndani ya miaka mitano nikawa nimelijua lote hadi vichochoro vya ushuani na uswahilini. Pale magogoni ilipo ikulu ya nchi nilikatiza sana kutalii kuzunguka nyumba hiyo yenye utukufu wa nchi kabla ya kuwa na ulinzi wa kutisha miaka hii sithubutu kukatiza maeneo hayo
 
Mbagala mpaka kariakoo,Kuna shule moja nilikuwa nasoma hapo mjini
 
Maeneo uliyoyataja yote yapo ndani ya Dar?
Duuuh! au unanena Kwa lugha mi ndo sikuelewi,waumini wengine ndo wanakuelewa?
Psych is real.
 
Mwananyamala A hadi bunju B nilitembea kuanzia saa9 alasiri hadi nafika bunju saa2 usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…