Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

Magomeni mpaka Mbagala Kuu... alaf ilikua usiku wa saa sita kuelekea saa saba. tuko wawili tu mji mzima kimya, mdogo mdogo mpaka tukafika.
 
Uyo rafiki angu alikua amefiwa na baba ake na hapo jirani alimpigia simu so ikabidi tutoke kwenda kuufuata mwili na kuupeleka hospital. Mshua wake alikua anaishi mwenyewe tu huko.
Duuh aisee binaadam tunapitia mengi sana Mungu amlaze mahali pepa Mzee.
 
Back
Top Bottom