Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Niliwahi toka kimara kwa mguu hadi rombo then nikakunja msewe nikatokea UDSM nikaingia hadi changanyikeni then to makongo juu huyo hadi Goba Center nikarudi nilikotoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubungo paka Magomeni mapipaNakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi.
Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city.
Alifurahi sana tulipofika Kigamboni tukapanda panton tukavuka posts tukaenda kupanda magari ya rangi tatu, basi bhana tulipofika akaenda kukata ticket kwenye gari akakata ya kwake tu akaniambia nimsubiri, anaenda kutoa hela kwenye simu, nikamuamini poa tu japo nilishashtuka ila nikawa najipa moyo.
Mpaka Mpira unaanza hakutokda ila bidi nianze kupiga ado ado na mguu mpaka msasani.
Hii sio kamba?G/Mboto from Mzambarauni via Jet via Buguruni via Tabata Relini, nikatokea Ubungo, nikanyooka hadi Shekilango hadi Sinza Vatcan..... hii ilikua 1994, na mwisho wa daladala toka K/Koo, Posta nk ilikua ni pale G/Mboto Mzambarauni kabla ya Scolla House haijajengwa kmmk walahi...
Huyo kijana aliyekukimbia ni mimi,samahani sana mkuu.Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi.
Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city.
Alifurahi sana tulipofika Kigamboni tukapanda panton tukavuka posts tukaenda kupanda magari ya rangi tatu, basi bhana tulipofika akaenda kukata ticket kwenye gari akakata ya kwake tu akaniambia nimsubiri, anaenda kutoa hela kwenye simu, nikamuamini poa tu japo nilishashtuka ila nikawa najipa moyo.
Mpaka Mpira unaanza hakutokda ila bidi nianze kupiga ado ado na mguu mpaka msasani.
acha kabisa, nilifika mbezi nikutane na mtu na ndio ana nauli ya kurudia. Mwenye nauli hakutokea na simu akazima, kilichofata ndio hiko
Mbezi - mbagala by foot
Kwanini mkuu...😳Hii sio kamba?
road to road mzee mpaka tandika, hapo nikapata shortcut moja nikatokea stendi ya shamba mbele ya mtongani kidogo, baada ya hapo ni kunyooka mpaka mbagala.Ulipitia njia ipi kurudi????
Mbali sanaKwanini mkuu...😳