Umiza akili katika maswali matatu, uongeze IQ yako

Umiza akili katika maswali matatu, uongeze IQ yako

Hizi ni chemsha bongo tatu tu ,na atakae patia chemsha bongo zote tatu bila kukosea namba hata moja, atapata zawadi ya Vocha ya mtandao atakao taka papo hapo.

Zinaenda kwa mfumo wa maswali hivo kuwa makini, Fikiria kabla hujajibu.

SWALI LA KWANZA.
Je , ukiwa ndani ya mashindano na ukampita mtu wa pili, wewe unakuwa mtu wa ngapi?

SWALI LA PILI.
Imagine ulikuwa na Mbuzi 15 ,wakafa wote isipikuwa Mbuzi 7 , Je utakuwa umebakiwa na Mbuzi wangapi?

SWALI LA TATU.
Baba na mtoto wakiwa safarini walipata ajali na Baba akafa pale pale, Wakati mtoto yuko maututi akawaishwa hospitali , Doctor akasema " Siwezi kukutibu mwanangu"
Je, Doctor ni nani?

Zawadi ipo wazi kwa atakae jibu kwa usahihi maswali yote matatu.

GOODLUCK!
Mimi nimepatia, post namba 21 nipe maua yangu
 
Mpaka sasa hakuna aliepatia majibu yote matatu, wengi wanapatia mawili tu, KEEP TRYING GUYZ
 
1 wa pili
2. Mbuzi 0[imagine/chukulia ulikuwa na mbuzi ila kiuhalisia hauna mbuzi ni kama ile ya kusema mfano tukiokota milioni we nikugawie kiasi gani?]
3. Mama
 
MAJIBU


1.Nitakuwa mtu wa 2
2.Walibaki mbuzi 7
3.Mtoto hakufahamu lolote kwasababu alikuwa mahututi.
 
Back
Top Bottom