Umiza akili katika maswali matatu, uongeze IQ yako

Umiza akili katika maswali matatu, uongeze IQ yako

1...sijui mpaka mashindano yatakapoisha
2... 0
3... Mama
 
Wote mmekosa mi nawashangaa sana inamaama IQ zenu zimezorota kama umeme wa tanesko!.
Page ya tatu hii na hakuna aliepata...😂
Kazi ipo.. mweka mada baki na zawadi yako tu hizi ni dharau.
 
Wote mmekosa mi nawashangaa sana inamaama IQ zenu zimezorota kama umeme wa tanesko!.
Page ya tatu hii na hakuna aliepata...😂
Kazi ipo.. mweka mada baki na zawadi yako tu hizi ni dharau.
😂😂😂
 
1) Inategemea kumpita kwenda juu au chini,kwenda mbele au nyuma
2)0
3)mama
 
Mleta mada ameshayakataa majibu sahihi. Yapo huko juu.
Kinachoendelea hapa ni kurefusha uzi tuu
 
1)ukiwa juu ukimpita MTU wa 2 unakuwa watatu,ukiwa nyuma ukimpita mtu2. Unakuwa WA kwanza
 
Back
Top Bottom