😅😅😅😅 nalijibu kichuo chuo sasa mzee wangu
1,Kwa kawaida kwenye mashindano Kuna washiriki kibao sasa kitendo Cha wewe kumpita mtu wapili moja Kwa moja kunaye wa kwanza mbele so wewe lazima uwe wa pili(2) kuchukua nafasi ya yule uliyempita
2,Mbuzi wote wamekufa (15) isipokuwa Mbuzi saba
Nalijibu Kwa pande mbili pande ya kwanza Kwa wanayanga wanaweza kusema imebaki na Mbuzi mmoja endapo iyo saba wakiwa wamechukulia kama namba ya Mbuzi kati ya wote
Lakini upande wapili Kwa sisi wanasimba 😅 naweza kusema wamebaki 7 kama tukichukulia hizo namba tajwa hapo juu zipo kuwakilisha jumla ya wanyama hao katika sehemu Fulani
3,always baba Ili apate mtoto lazima awe na mama baasi wanafanya Yao mtoto anazaliwa ,sasa kama baba kafa na mtoto ashakuwa mkubwa probably kabaki mama yake.....so nataka kusema kuwa Mama ndiye aliyekuwa daktari ,
Sasa hapo nimekupangilia sasa kichuo chuo kataa na hapa 😅😅
Ukikata majibu yangu nakupelekea polisi Kwa kosa la kuuza bandari ( 😅😅😅😅😅)