Umiza akili katika maswali matatu, uongeze IQ yako

Umiza akili katika maswali matatu, uongeze IQ yako

1. Yaani umpite wa Pili halafu wewe ndio uwe wa pili!? Ukimpita wa pili si unamuacha kwenye hiyo hiyo namba yake wewe unakuwa kwenye namba ya juu yake!?

2. Ushasema mbuzi wote wamekufa(shikilia hapa, WOTE) acha uhuni

3. Neno Mwanangu ni pana sana kimatumizi

Usilete uhuni, tuma vocha yangu ya eatel hapa hapa
 
Mleta mada ameshayakataa majibu sahihi. Yapo huko juu.
Kinachoendelea hapa ni kurefusha uzi tuu
Na mwamini Mungu, notaleta majibu na mtayapima na kama kuna atakae kuwa amepata YOTE MATATU, nitampa zawadi yake 🙏🏾
 
1,utakuwa wapili
2,utabaki nao 7
3,mama

Zawadi yangu mkuu naomba nimesoma Cuba 😅😅😅🔥
 
Hizi ni chemsha bongo tatu tu ,na atakae patia chemsha bongo zote tatu bila kukosea namba hata moja, atapata zawadi ya Vocha ya mtandao atakao taka papo hapo.

Zinaenda kwa mfumo wa maswali hivo kuwa makini, Fikiria kabla hujajibu...
Ans1: kwenye mashindano, ukimpita mtu wa pili wewe ndio unakua wa pili

Ans2: kama walisha kufa wote, hao saba 7 ni wapya au!!? [emoji2960] chukua chukua WOTE - 7 = WALIOBAKI[emoji2960][emoji1787][emoji1787]

Ans3: anaweza akawa kamjibu kibusara kwa kumchukulia kama mtoto wake au kuna uwezekano alie fariki ni mchepuko wa mama yake au baba mlezi na dr ndio baba halisi
 
We jamaaa , Bado Points unitoe maokoto 😂Good try, moja hapo sio sahihi
 
Hizi ni chemsha bongo tatu tu ,na atakae patia chemsha bongo zote tatu bila kukosea namba hata moja, atapata zawadi ya Vocha ya mtandao atakao taka papo hapo.

Zinaenda kwa mfumo wa maswali hivo kuwa makini, Fikiria kabla hujajibu.

SWALI LA KWANZA.
Je , ukiwa ndani ya mashindano na ukampita mtu wa pili, wewe unakuwa mtu wa ngapi?

SWALI LA PILI.
Imagine ulikuwa na Mbuzi 15 ,wakafa wote isipikuwa Mbuzi 7 , Je utakuwa umebakiwa na Mbuzi wangapi?

SWALI LA TATU.
Baba na mtoto wakiwa safarini walipata ajali na Baba akafa pale pale, Wakati mtoto yuko maututi akawaishwa hospitali , Doctor akasema " Siwezi kukutibu mwanangu"
Je, Doctor ni nani?

Zawadi ipo wazi kwa atakae jibu kwa usahihi maswali yote matatu.

GOODLUCK!

1.utakuwa mtu wa pili kwa sababu umempita wapil8 hivyo utachukua namba yake..

2.Kwakuwa umeweka neno isipokuwa maan yake linabatilisha sentensi ya nyuma ni kama logic value tu kwa hiyo utabaki na mbuzi nane...

3.Doctor ni baba wa mtoto aliyepata ajali na yule Baba aliyepata ajali huenda jina lake ni baba
 
1.Mpaka mashindano yaishe...
2.Mbuzi 15.
3.dokta ni Mtu aliekuwa anamtibu
 
Hapo ni hivi.
1:atakuwa wa pili.
2:0 yani akutakua na mbuzi.uwezi sema mbuzi wote wamekufa alafu.useme tena wamebaki 7 hapana.
3:aijalishi ushasema ni doctor basi atabaki kuwa doctor hvo hvo.so doctor ni doctor.uwez sema eti doctar ni nan.
 
Moh Lukwaro
1. Jibu ni kua unakua wa pili maana kabla ya kumpita wa pili kulikua Kuna namba moja na namba 2 so unakua namba 2.

2. Unabakiwa na Mbuzi 7

3. Aliemhudumia mtoto ni Dr Ila akasema hawezi kumtibu mwanangu kutokana na hali ya mtoto kua maututi akimaanisha apewe rufaa mgonjwa kutokana na critical condition yake. Alimuita mwanangu kutokana na utoto na pia hali ya huzuni kama mzazi.

Mkuu namba niweke hapa ama nitume inbox?!!
 
Back
Top Bottom