Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Mkuu hapo namba mbili naomba nikupingi maana hukuwa na mbuzi ila ulichukulia kama unambuzi.MAJIBU
1. Utakuwa mtu wa pili.
2.Utabakiwa na Mbuzi 7
3. Doctor ni mama
-Doctor hawezi toa excuse ya kutomtibu mtu. Yule ndie mama mzazi wa mtoto ndio maana akatoa excuse.
Kama kuna aliejibu hivyo na sikuona , Nambie ni page post ngapi 🙏🏾
Nadhan nextime uwe unaangalia vizur.
Kama sivyo bora ungesema kabisa "unambuzi kadhaaa. Kadha wakafaaaa sasa hapo umetufanya tupate yote tukose hao mbuzi wa kufikirika tuuu"
Anyway tunashukuru kwa kutuchangamsha