Umiza akili katika maswali matatu, uongeze IQ yako

Mimi nimepatia, post namba 21 nipe maua yangu
 
1. Nitakua mtu wa kwanza
2. Hakuna mbuzi aliyebaki
3. Mama
 
Mpaka sasa hakuna aliepatia majibu yote matatu, wengi wanapatia mawili tu, KEEP TRYING GUYZ
 
1 wa pili
2. Mbuzi 0[imagine/chukulia ulikuwa na mbuzi ila kiuhalisia hauna mbuzi ni kama ile ya kusema mfano tukiokota milioni we nikugawie kiasi gani?]
3. Mama
 
MAJIBU


1.Nitakuwa mtu wa 2
2.Walibaki mbuzi 7
3.Mtoto hakufahamu lolote kwasababu alikuwa mahututi.
 
1 wa pili
2. Mbuzi 0[imagene/chukulia ulikuwa na mbuzi ila kiuhalisia hauna mbuzi ni kama ile ya kusema mfano tukiokota milioni we nikugawie kiasi gani?]
3. Mama
Subiri majibu mkuu πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…