Mkuu hapo namba mbili naomba nikupingi maana hukuwa na mbuzi ila ulichukulia kama unambuzi.MAJIBU
1. Utakuwa mtu wa pili.
2.Utabakiwa na Mbuzi 7
3. Doctor ni mama
-Doctor hawezi toa excuse ya kutomtibu mtu. Yule ndie mama mzazi wa mtoto ndio maana akatoa excuse.
Kama kuna aliejibu hivyo na sikuona , Nambie ni page post ngapi 🙏🏾
Ni majibu sahihi kwa mtazamo wako.MAJIBU
1. Utakuwa mtu wa pili.
2.Utabakiwa na Mbuzi 7
3. Doctor ni mama
-Doctor hawezi toa excuse ya kutomtibu mtu. Yule ndie mama mzazi wa mtoto ndio maana akatoa excuse.
Kama kuna aliejibu hivyo na sikuona , Nambie ni page post ngapi [emoji1488]
Heeee kuna watu mpo zaidi ya serious humu jf, hongera....mie humu userious huwa ni 1% tu.....yote uliyowaza ni majibu sahihiHivi unakimbiliaga kujibu maswali uonekane wakwanza au ubongo wako ndio huu mfumo wake wa ufikiriaji?
Kwani mie faiza 🤣 nini kimekufanya udhani dr ni mama na sio hata mama mkubwa1. Anakuwa wa pili (kachukua nafasi ya aliyekuwa wa pili)
2. Umepata
3. Daktari ni mama wa mtoto....
Kwani wewe shuleni ulienda kusoma ujinga?
OkeyHeeee kuna watu mpo zaidi ya serious humu jf, hongera....mie humu userious huwa ni 1% tu.....yote uliyowaza ni majibu sahihi
Kwasababu mimi ni genius wa kutengua vifumbo vya kitoto kama hivi...Kwani mie faiza 🤣 nini kimekufanya udhani dr ni mama na sio hata mama mkubwa
Tatizo mmesoma nusu nusu, Alafu kumbuka hizi ni chemsha bongo so lazima uwe makini na kila Sentensi ili ujue lengo la alielifumba fumbo hilo.Mkuu hapo namba mbili naomba nikupingi maana hukuwa na mbuzi ila ulichukulia kama unambuzi.
Nadhan nextime uwe unaangalia vizur.
Kama sivyo bora ungesema kabisa "unambuzi kadhaaa. Kadha wakafaaaa sasa hapo umetufanya tupate yote tukose hao mbuzi wa kufikirika tuuu"
Anyway tunashukuru kwa kutuchangamsha
Tatizo mmesoma nusu nusu, Alafu kumbuka hizi ni chemsha bongo so lazima uwe makini na kila Sentensi ili ujue lengo la alielifumba fumbo hilo.Mkuu hapo namba mbili naomba nikupingi maana hukuwa na mbuzi ila ulichukulia kama unambuzi.
Nadhan nextime uwe unaangalia vizur.
Kama sivyo bora ungesema kabisa "unambuzi kadhaaa. Kadha wakafaaaa sasa hapo umetufanya tupate yote tukose hao mbuzi wa kufikirika tuuu"
Anyway tunashukuru kwa kutuchangamsha
SWALI LA NNEHizi ni chemsha bongo tatu tu ,na atakae patia chemsha bongo zote tatu bila kukosea namba hata moja, atapata zawadi ya Vocha ya mtandao atakao taka papo hapo.
Zinaenda kwa mfumo wa maswali hivo kuwa makini, Fikiria kabla hujajibu.
SWALI LA KWANZA
Je , ukiwa ndani ya mashindano na ukampita mtu wa pili, wewe unakuwa mtu wa ngapi?
SWALI LA PILI
Imagine ulikuwa na Mbuzi 15 ,wakafa wote isipikuwa Mbuzi 7 , Je utakuwa umebakiwa na Mbuzi wangapi?
SWALI LA TATU
Baba na mtoto wakiwa safarini walipata ajali na Baba akafa pale pale, Wakati mtoto yuko maututi akawaishwa hospitali , Doctor akasema " Siwezi kukutibu mwanangu".
Je, Doctor ni nani?
Zawadi ipo wazi kwa atakae jibu kwa usahihi maswali yote matatu.
GOODLUCK!
hili ndo jibu1. Neno isipokuwa linamaanisha hao Saba hawakufa.
Kwa ivo inakuwa 15-7=8. Kimantiki mbuzi waliokufa ni 8 na waliobakia ni 7.
Mp
2. Ukimpita mtu wa pili wewe ndiyo unakuwa wa pili. 2-1+1=2.
3. daktari ni daktari ila ametumia neno "mwanangu" kuonesha utofauti wa umri kati yao.
Nimekosa maokot🙆🙆Niwekee namba yako apa nikupigie alafu maokoto yaingie kwako ,ule ten percent
Tunafanyaje ,sijapata mpunga mpaka saiviNimekosa maokot🙆🙆
Umepata mawili mkuu, Excellence