Kumbe ruksa kutangaza eeeh, kuna Rafiki yangu mkubwa anataka kugombea Dodoma mjini.Ngoja naye nimwambie ajimwage
MwanaFA Tanga Kiungani kule kwa Njeka, Ummy Mwalimu - Korogwe Girls.Umenikumbusha mwanaFA!
Nilikumbuka corabo yao tu bwashee!MwanaFA Tanga Kiungani kule kwa Njeka, Ummy Mwalimu - Korogwe Girls.
Anastahili bila shaka wana ccm watampa nafasi hiyo na naamini hakuna wa kuweka kiwingu atakua mbunge. Huyu dada yetu hakika ni jembe mchapa kazi mzuri tanga tupeni bungeni arejee kutumikia taifa.Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya wizara ya afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga mjini.
Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospital za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza ziko wapi, hebu azitaje basiHizo hospitali, zahanati na vituo vyaa afya kajenga kwa pesa zake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Humjui Ummy wewe.... Toka lini ummy akawa kibonge... Mimi nimekaa nae zero distance....... Hadi harufu yake nzuri na mikono laini nimeigusa... Alisema vipi baba hujambo..... Wagonjwa wanaendeleaje.... Hahahahaha nikamchekiii.... Nikamwitia wakubwa huko....wapige nae picha. ... Sio kibongeAombe Mungu na alivyo kibonge asipate Corona ili lengo lake litimie, maana Ni kibonge
Huna tarafa?Hivyo vituo vya afya na zahanati vimejengwa wapi na wapi?
Watuletee taarifa ya utekelezaji tuione kisha tufatilie tujiridhishe kama ni kweli au siyo.
Mfano nataka kujua kama kijiji cha Kwamagome kule Handeni walishajengewa kituo cha afya au Zahanati?
Maana tangu Uhuru hadi leo wamekuwa wakihangaika kwenda kupata huduma mbali sana !
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe wabunge na madiwani wengi wameikimbia Chadema lakini hajajihuzuru.!huyu amevurunda na vifo vinavyoendelea 'one way or another' anahusika
ni failure hastahili...hiyo credibility hana
ni ujinga wa watz wa kudanganywa na wali na khanga ndio utakaomsaidia kushinda.
alipaswa awe amejiuzulu hasa kwa namna wizara yake inavyosimamia kizembe afya ya wananchi..
wanakufa mawaziri,wabunge,wasomi,matajiri,raia wa kawaida,malofa,wapumbavu na watoto..
yupo anauza sura,hana uchungu