Kwanini asigombee chato??Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga Mjini.
Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospitali za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .
Umetisha mkuuNaunga mkono hoja tanga yote majimbo yote wagombee wanawake sababu wansume wengi Wa Tanga wamekaa kike kike kuanzia kujipodoa had I kudeka sihawahi on a wadekaji kama wanaume Wa Tanga
Bora tu washike ubunge wanawake lieweke moja
Wanawake Wa Tanga hawana Tabia za kudeka ni wachapa kazi ila wanaume Wa Tanga kwa kudeka na kujipodoa wanatisha na sio wachapa kazi kama
Wanawake
Nenda Ummy kagombee nakuunga mkono
HahahahaNaunga mkono hoja tanga yote majimbo yote wagombee wanawake sababu wansume wengi Wa Tanga wamekaa kike kike kuanzia kujipodoa had I kudeka sihawahi on a wadekaji kama wanaume Wa Tanga
Bora tu washike ubunge wanawake lieweke moja
Wanawake Wa Tanga hawana Tabia za kudeka ni wachapa kazi ila wanaume Wa Tanga kwa kudeka na kujipodoa wanatisha na sio wachapa kazi kama
Wanawake
Nenda Ummy kagombee nakuunga mkono
Huku huwezi pata wewe? Hiyo siku lazima nikapige kura. Mdee tunamchinja October 2020!Kila lenye kheri dada Ummy,hata mimi 2025 nitagombea Kawe .
Uongozi makini? Seriously!!!!Tusiwe vigeugeu tunaoseama hawakufanya lolote ni kwa pesa zao?! Hapana ni kwa pesa za umma kupitia usimamizi na uongozi makini, unaojali matokeo.
Haya utanipigia kura.Huku huwezi pata wewe? Hiyo siku lazima nikapige kura. Mdee tunamchinja October 2020!
imeisha hiyo mkuu.Duniani kuna vitu vitamu sana. Umenikumbusha Tanga Tech enzi za S.M. Tetty na kucheza Disco Korogwe Girls.
Ajabu!!! Na hata hayo yaliyojengwa bila bajeti hayana vifaa, madawa wala wahudumu, nurse mmoja anapangiwa kufanya kazi wadi tatu unategemea nini?cheap politics kwa majuha ya tanzania. eti kajenga hospitali. Kwa hela za nani?
She is capable of doing the work. Halafu sidhani kama wapiga fitna wana nafasi tena ya kumzuiaWaziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga Mjini.
Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospitali za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .
Kumbe ni kweli zimejengwa?Ajabu!!! Na hata hayo yaliyojengwa bila bajeti hayana vifaa, madawa wala wahudumu, nurse mmoja anapangiwa kufanya kazi wadi tatu unategemea nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hospitali ambazo hazina vifaa ndiyo amefanya maendeo?Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga Mjini.
Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospitali za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .