Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Mwakabibi alikuwa hajajuwa kuwa Rais wa sasa ni SSH ambaye hataki ubabe, ufisadi na kushirikiana na Wana habari?View attachment 1763550
Waziri wa Tamisemi Mh Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke , Lusubilo Mwakabibi
Anatuhumiwa kwa ubadhilifu , usimamizi mbovu wa miradi na mwenendo usiofaa .
Huu ndio utawala bora unavyotakiwa, kiongozi akijichanganya tu, anasimamishwa kupisha uchunguzi, kama hana shida, anarudi, sio Meko, yeye mtu akifanya ujinga mkilalamika sana, anachofanya ni kumsifia , hadharani, na kuufunga mjadala!!kama yule DC, wa hai kweli jamani!!??View attachment 1763550
Waziri wa Tamisemi Mh Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke , Lusubilo Mwakabibi
Anatuhumiwa kwa ubadhilifu , usimamizi mbovu wa miradi na mwenendo usiofaa .
Hivi alikuwa na unasaba na Jiwe, maana kiburi hiki kina Godfather anakisimamia and most likely ni Jiwe by those past days. Amekisajau kuwa Jiwe kafaView attachment 1763550
Waziri wa Tamisemi Mh Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke , Lusubilo Mwakabibi
Anatuhumiwa kwa ubadhilifu , usimamizi mbovu wa miradi na mwenendo usiofaa .
Uchunguzi wetu zaidi umebaini kwamba Mtukufu Mwakabibi ndiye DED mwenye rekodi ya kiburi na kujimwabafai kupita yeyote tangu nchi hii ipate uhuru wake 1961 , alinunua gari la kutembelea la gharama kubwa (470mil) bila utaratibu na wala kujali lolote , tuhuma hizi hazifahamiki zilikopotelea .
Aliemteua alipenda style yake .....ikampa jeuri zaidi ...asubiri uchunguziHuyo mkurugenzi wa Temeke kwa namna alivyookuwa anaaendesha ofisi ni sahihi kutumbuliwa.
Malalamiko juu yake yalikuwa mengi sana, shida sijui ilikuwa wapi kwa mamlaka yenye dhamana ya uteuzi kumtoa toka awamu ile ya hayati Magufuli.
Mtu wao idarani hata huko hawampendi sababu sifa za kijinga... inaonesha jinsi vetting system ilivyo ya hovyo!
Nasikia jamaa ni usalama ndo maana alikuwa anamadharau na kujiaminiNi jambo jema
Huyu jamaa Jaffo alikuwa anamuogopa sana.
Nimeamini Wanawake wakiwezeshana wao kwa wao Wanaweza!
Huyu alikuwa Kakonko kabla ya kepelekwa Temeke. Yupo hovyo mno. Uchunguzi inafaa uanzie Kakonko.Huyo mkurugenzi wa Temeke kwa namna alivyookuwa anaaendesha ofisi ni sahihi kutumbuliwa.
Malalamiko juu yake yalikuwa mengi sana, shida sijui ilikuwa wapi kwa mamlaka yenye dhamana ya uteuzi kumtoa toka awamu ile ya hayati Magufuli.