figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Nimeamini msemo wa Vunja mifupa ungali meno iko.
Huyu ni aliyekuwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu. Adabu kama zote. Hadi Jokate anamshangaa
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Je anataka aongelewe kama Januari Makamba baada ya kupigwa kofi?
Nimependa kiatu chake😍. Zoom kabla ya kuandika chochote.