Pre GE2025 Ummy Mwalimu (Odo) wa sasa si wa miaka ya Kikwete. Maisha ni mafupi sana

Pre GE2025 Ummy Mwalimu (Odo) wa sasa si wa miaka ya Kikwete. Maisha ni mafupi sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mheshimiwa Ummy Mwalimu yupo vizuri sana na ni mtu mwema na muungwana .Mwenye huruma na upendo. Na mtu mwenye bidii ya kazi. Naamini siku moja atarejeshwa Barazani na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa
 
Wenye njaa kazi yenu ni kutaka wengine wasile,kuna kazi nyingi,fanya,kama unaona ni rahisi kuwa mbunge zaidi ya mara mbili jaribu

Huyo kama kufanikiwa tayari kesha fanikiwa, apishe na wengine wanufaike na wale keki ya taifa

kwa taarifa yako watu kama hao hawana maslahi ya utaifa, ni wapigaji na wapo bungeni kwa maslahi yao

sina njaa kama wewe chawa wa ummy
 
Ndio akome kumsema Mh. Rais vibaya, akae kama mbunge hadi astaafu, alijifanya mjuaji sana akajiona anajua sana, kumbe mfitini..!!
 
Waislamu poa kama hao ndiyo mnavutiwa nao na hatushangai maana tumeshapewa tahadhari mapema juu yenu makafiri na mayahudi kwamba hamtokuwa radhi hadi tufuate mila zenu.
maushungi na mahijabu mpaka shuleni ni kero na ni kitisho
 
Ummy mwalimu ni tajiri sana.maana kumiliki kampuni za mabasi ya mikoani na kuanzisha mahospitali mikoa kadhaa na apartments karibu Nchi nzima siyo kitu kidogo
siasa inalipa vizuri sana
 
Kwani kuwa waziri ni lazima? Kila siku hao hao tu. Binadamu unatakiwa ujue kuna mwanzo na mwisho wa kila kitu
Mheshimiwa Ummy Mwalimu yupo vizuri sana na ni mtu mwema na muungwana .Mwenye huruma na upendo. Na mtu mwenye bidii ya kazi. Naamini siku moja atarejeshwa Barazani na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa
 
Back
Top Bottom