residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
1. Utumwa wa kiakili.Hivi pesa wanapelekaga wapi hawa. Miaka yote hio yupo bungeni bado ananyenyekea watu daah
2. Ukizoea kunyonga,vya kuchinja huwezi.
Mazoea ya kupata mahela ya burebure yanamtoa akili.
3. Pesa zinavyokuwa nyingi ndio hamu ya kuzipata nyingi zaidi inaovyokuwa kubwa.
4. Pesa zinatumika kwa waganga, machawa, wapiga debe na harakati za kutaka kuonekana kwa ujumla.