Pre GE2025 Ummy Mwalimu (Odo) wa sasa si wa miaka ya Kikwete. Maisha ni mafupi sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi pesa wanapelekaga wapi hawa. Miaka yote hio yupo bungeni bado ananyenyekea watu daah
1. Utumwa wa kiakili.
2. Ukizoea kunyonga,vya kuchinja huwezi.
Mazoea ya kupata mahela ya burebure yanamtoa akili.
3. Pesa zinavyokuwa nyingi ndio hamu ya kuzipata nyingi zaidi inaovyokuwa kubwa.
4. Pesa zinatumika kwa waganga, machawa, wapiga debe na harakati za kutaka kuonekana kwa ujumla.
 
Unachukiaje muono na upendeleo wa mtu mwingine!!??
Kweli tatizo la afya ya akili ni kubwa kuliko tunavyolichukulia.
Pole sana kwa tatizo hilo.
Ndicho nilichouliza hapo juu.....MAONI yanahusisha uhuru wa mavazi....
 
Ummy mwalimu ni tajiri sana.maana kumiliki kampuni za mabasi ya mikoani na kuanzisha mahospitali mikoa kadhaa na apartments karibu Nchi nzima siyo kitu kidogo
Kampuni gani ya mabasi
 
Sema ni lijizi na lipiga dili balaa.
 
Sio wa kumchukulia poa huyo kapiga B kadhaa ,hivi sasa anamiliki mabasi na Hotel kadhaa
Aah huyu mama ni mwizi aisee. Wizara ya afya alipiga sana madili. Huyu hafai kuwepo hata bungeni ni wa kwenda jela.
 
Mheshimiwa Ummy Mwalimu yupo vizuri sana na ni mtu mwema na muungwana .Mwenye huruma na upendo. Na mtu mwenye bidii ya kazi. Naamini siku moja atarejeshwa Barazani na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa
Humfahamu wewe. Huyu mama ni binadamu haram! Mchekee uone kama hata hajakuua. Na mbaya zaidi ni mwizi wa mali ya umma. Kaiba tamisemi kaiba afya na anaiba wazi wazi wala haogopi.
 
Ummy mwalimu ni tajiri sana.maana kumiliki kampuni za mabasi ya mikoani na kuanzisha mahospitali mikoa kadhaa na apartments karibu Nchi nzima siyo kitu kidogo
Kweli mabasi ya kwenda wap mkuuu unajua mambo sana mkuuu
 
Ndio cache umbea, January kasamehewa ila odo imekula kwako, labda utembee kwa magot kwenda ikulu
 
Ummy mwalimu ni tajiri sana.maana kumiliki kampuni za mabasi ya mikoani na kuanzisha mahospitali mikoa kadhaa na apartments karibu Nchi nzima siyo kitu kidogo
Alikula hela za Wakorea ni mdada mmoja mwizi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…