Ummy Mwalimu: Wachangiaji damu, kupewa kipaumbele wanapohitaji damu hospitalini. Watapewa kadi Maalum

Ummy Mwalimu: Wachangiaji damu, kupewa kipaumbele wanapohitaji damu hospitalini. Watapewa kadi Maalum

Inategemea unakerwa vipi kuona watu wanapoteza maisha kizembe due to poor health supervision.

Mimi sishangai kabisa kusikia aliekuwa speaker Job Ndugai kama yupo India.

Ashukuru ana bahati ni kigogo, vinginevyo kisukari ukiwa na stress mwili unaachia Cortisone hormones kama kinga yake. Hiyo issue mshike mshike kweli kweli kama una kisukari mawili relax haraka sana au DKA hiyo; na kama DKA siku chache unazikwa kwa response ya bongo; speaker anakula pipa India wana mmudu.

DKA sio swala la kufa provided medics understand how to intervene.

Swali kwako would you rather have a minister who can eliminate this nonsense, au ushabiki tu wa mtu ambae unataka awe hapo kwa siasa kijinga.

Wizara ya afya ni ovyo mno kuna vifo vingi vinaepukika kwa kwa usimamizi imara tu na kuboresha huduma. Na kwa sasa hiyo wizara inahitaji mtaalamu sio mwanasiasa.

Huduma za afya Tanzania ni mbovu mmo, kuna watu wazembe mno ambao awataki kubadilika; ndio wanaomtaka mtu kama Ummy Mwalimu.
Hujui kazi ya Waziri wewe! Kwa mantiki hiyo Rais anatakiwa awe na utaalam wa kila kitu? Jamaa kakueleza mfano wa dereva wa Gari si lazima awe automobile engineer ila fundi wa kutengeneza gari tu si kuendesha gari. Rudi shule
 
Kabla ya kuchangia kwenye Uzi huu wa mkuu Kilatha , naomba ku declare interest kuwa Mimi ni professional and practicing medical Dr. Nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye hospitali za Umma na binafsi, mjini(DSM) na peripheral.
Baada ya kusoma Uzi wako, nimelazimika kumsikiliza mh Waziri Mara tatu kujua msingi wa hoja yako. Niliyoyabaini:

Mosi, uelewa wako kwenye moja ya nguzo za maadili na miiko ya udaktari ' Non maleficence' una kasoro. Ni kweli, wewe ni public health specialist or whatever, lakini umeshindwa kudadavua principle hiyo with respect to kile Waziri amezungumza.
Pili, uzoefu wako kwenye masuala ya Upatikanaj na ukusanyaji wa damu salama ni mdogo. Huenda ninyi ndo wale ambao immediately after internship mlisoma MPH, so uzoefu wenu kwenye ground ni mdogo Sana.
Tatu, ama hufahamu majukumu ya Waziri au umeamua umseme tuu kwa kuwa ulikusudia walau kuwa na Uzi hapa Leo. Binafsi, sioni kosa lolote kwa Waziri kuhamasisha watu kujitolea damu. Na sera ya wachangiaji wa damu wa hiari kupewa kipaumbele pale wanapokua na mahitaji ya damu, hili sio suala la Ummy. Ni mkakati wa muda mrefu wa damu salama ambapo mchangiaji hupewa kitambulisho ambacho akienda nacho sehemu yoyote atatambulika na endapo akihitaji damu, atapatiwa Kama ipo hospitalini hapo. Ni mkakati wa muda mrefu, hata kabla mh Waziri hajawa Mbunge.

Baada ya kumsikiliza mh Waziri, nami naomba niunge mkono maagizo yake kwa kusema:
1. Serikali kuhakikisha mifuko ya damu inapatikana bure itarahisisha shughuli nzima ya ukusanyaji damu, na huenda ikaongeza idadi ya watu wanaochangia damu kwa hiari. Kwa sababu, Kuna baadhi ya sehem mfuko mmoja/tupu unauzwa Tsh 10000, so hii itasaidia kupunguza mzigo kwa familia ya mgonjwa.
2. Suala la mgonjwa anayeongezewa damu kuhimizwa kuwa na watu wa kufanya replacement ya damu hio. Kila mmoja wetu atakubaliana na Mh kuwa, hakuna kiwanda Cha damu zaidi ya mwili wa mwanadamu. Na kuwa, kibongo bongo kumwambia mtu achangie damu Wakati haumwi, majority hatuna utayari huo, utasikia kila mtu,' hata mimi niliyonayo hainitoshi'. So, tukisema mtu aongezewe tuu theni tutegemee damu inayokusanywa na timu za ukusanyaji damu salama, hatutoboi. Tumewahi kujaribu Hilo, kukatokea shortage kubwa and huenda some of people humu walipoteza relatives kwa kukosa damu. so, tuache kuingiza siasa kwenye afya za watu, twende na uhalisia. Nikiwa hospitali mojawapo mjini ambako suala la replacement lilikua linawekewa mkazo Sana, ilikua nadra kusikia mama mjamzito amekufa kwa kukosa damu, which is different to the peripheral nilipokua, ambako walikua wakizua utaratibu wa lazima wa ndugu kufanya replacement. Kwa mwaka mmoja, tulishuhudia zaidi ya vifo vya akina mama 30 vitokanavyo na Uzazi na wengi wakifa kwa kukosa damu.

Tuwe wakweli, tuache kuingiza siasa kwenye kila Jambo. Tumuunge mkono Mh Waziri, tumshauri kwa staha na tuzitumie elimu zetu kwa manufaa ya Umma.
Asante.
KAMWENE.
 
Afya sio kipaumbele kwa nchi hii, ndo maana wizara inapewa chiriku mpiga porojo.
 
Mkuu Kilatha, kiukweli mimi sio tuu namkubali sana huyu bidada, bali... kwa wale ambao hawajawahi kufika Tanga, au kupita Tanga, nawaomba Tanga muendelee kuisikia hivi hivi tuu!...sii mchezo !.
P

Hapo sasa ni mahaba yako binafsi, nachelea kusema umezama na umepofushwa.
 
Kamwene

I appreciate taking your time and giving us an input as a Medic I respect your view point.

Nonetheless being a medic doesn’t qualify you to being a health manager ndio maana kuna watu wanasomea health management.

Yes a trained medic on that front is always a good health manager than a non medic. Kama ilivyokuwa kwa Dr Gwajima kumfananisha na Ummy because they understand medical procedures (which are regulated) and having additional organisations management aspect.

Ndio maana succession planning ya kwenda wizarani inaanzia kwenye management ya at operational level kwenda juu (and apparently it’s effective kama Dr Gwajima is the case study).

So in learning management utafunzwa kuhusu inventory control and usage of items before they become obsolete kama damu if you do not store it safely (mengine nadhani ulimuona mtaalamu Dr Gwajima akiyafanya kwa wasiomulewa wanaweza muona mama mropokaji kwa wanaofahamu alichokuakifanya ni kipanga).

Sasa sio kujifanya Mwalimu wako wakati ni wewe medic already ni hivi. Kila mtu mwenye jukumu la blood bank anatakiwa kujua demand yao ya mwaka based on previous year information. Kama mwaka jana ulikuwa na shortage unatakiwa ujipange na kujua unaongeza vipi.

Na usitegemee mbinu moja ya voluntary (sitosema mbinu zingine because you can’t promote them for ethical reasons). Nonetheless jukumu la kukusanya damu ni la wizara ya afya au local health authority based on the evidence of local area demand; huo sio utaratibu wa Tanzania tu ni dunia nzima.

Kwa maana hiyo kwa utaratibu unaotetea waziri anaopendekeza Tanzania itakuwa nchi ya kwanza duniani yenye proposal ya kipuuzi kama hiyo; kupata damu lazima uwe mchangiaji yet they charge for it (you get the idea which I left somewhere, if you are selling it you should also consider buying it that’s approach what everyone else is doing to ensure they have enough stock).

As for medical ethics you shouldn’t even consider bending them, kwa bongo sawa ila kwa nchi za wenzetu either zimetungiew sheria na bunge lao au zipo kama regulatory frameworks za watchdogs which can be used to quantify of practice au ni sehemu ya operational policy; you can’t avoid them.

Alichosema waziri atleast in health provision ni upuuzi you can’t do that it’s against ‘medical ethics’.
 
Hii wizara kila akipewa mtu wa fani ya Afya, akina Kigwangala na Gwajima dada jahazi linaenda mrama.... wakipewa ngwini kama Anna Abdallah wanaweza! Kuna tatizo kwa hawa madaktari...
 
P ni mwandishi ila a najua kila kitu
Sio kweli kuwa najua kila kitu, bali miaka 30 ndani ya news room, has exposed me on many fronts hivyo ni good exposure na mambo mengi ya huku dunia ya tatu. Ukinipeleka dunia ya kwanza kwenye quantum physics au mambo ya artificial intelligent mimi ni zéro!.
O level nimesoma masomo 12!, yakiwemo Sciences, Arts, Commerce, Music na Religion, kwenye Siasa, dini na Music nina misonge!, kwenye Arts B, kwenye sciences zote tatu, Physics, Chemistry na Biology nina C, hivyo I had a broad choice combi zote zilikubali, hivyo nikasoma HGL by choice, lakini sio kuwa najitapa, kiukweli kwenye knowledge aquiring niko vizuri, hata huu uandishi wa habari naufanya for the love of it, kabatini kwangu kuna LL.B (hons) ya UDSM, imejilalia tuu!.

P
 
Hapo sasa ni mahaba yako binafsi, nachelea kusema umezama na umepofushwa.
Mkuu Ncha Kali , kiukweli kujitambua na kujielewa udhaifu wako ni jambo jema, kiukweli kuna watu, vitu, mambo mimi ni mdhaifu sana !. Mfano hapa...
P
 
Kaka yangu ana mke wake huku kijijini kwetu alipeleka biashara akaacha mtaji wote huko huko Tanga.

Kasheshe sasa ikawa watu wakimuuliza biashara vipi anakuwa mkali kweli baada ya wenyeji kubeba mtaji na dada aliemvuruga hadi kuacha mtaji.

Majibu yake sasa akiulizwa biashara Tanga vipi ‘sitaki kabisa kabisa kusikia mambo ya Tanga nina mke wangu’, sasa mjomba nani kakuulizia mke wako watu wanataka kujua biashara inaendeleaje.
Tanga sio mchezo, usipokuwa makini, unaweza kujikuta uko mjini
Tanga, unatangatanga mitaa ya viwanja vya Tangamano!.
P.
 
Mkuu Ncha Kali , kiukweli kujitambua na kujielewa udhaifu wako ni jambo jema, kiukweli kuna watu, vitu, mambo mimi ni mdhaifu sana !. Mfano hapa...
P

Basi ni dhahiri kwa Bibie Ummy unapenda shingo yake ya pingili, na kwa jicho bila shaka ni Chifu Hangaya…. ila sitaki kusema ni jicho lipi upendalo.! [emoji1493][emoji1493][emoji1493]
 
Basi ni dhahiri kwa Bibie Ummy unapenda shingo yake ya pingili, na kwa jicho bila shaka ni Chifu Hangaya…. ila sitaki kusema ni jicho lipi.! [emoji1493][emoji1493][emoji1493]
Sisi watu wa kanda ya Ziwa ni penda penda, niliwahi hata kumpenda naibu Waziri fulani
P
 
Kabla ya kuchangia kwenye Uzi huu wa mkuu Kilatha , naomba ku declare interest kuwa Mimi ni professional and practicing medical Dr. Nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye hospitali za Umma na binafsi, mjini(DSM) na peripheral.
Baada ya kusoma Uzi siasa

Tuwe wakweli, tuache kuingiza siasa kwenye kila Jambo. Tumuunge mkono Mh Waziri, tumshauri kwa staha na tuzitumie elimu zetu kwa manufaa ya Umma.
Asante.
KAMWENE.
Mkuu Ad majorem, thanks for this.
p
 
Good lets try his knowledge on health management. I will be happy to entertain him on that front.

Nimemkejeli Hana lolote huyo wa hovyo kuliko, anyways no comparison
Sio kweli kuwa najua kila kitu, bali miaka 30 ndani ya news room, has exposed me on many fronts hivyo ni good exposure na mambo mengi ya huku dunia ya tatu. Ukinipeleka dunia ya kwanza kwenye quantum physics au mambo ya artificial intelligent mimi ni zéro!.
O level nimesoma masomo 12!, yakiwemo Sciences, Arts, Commerce, Music na Religion, kwenye Siasa, dini na Music nina misonge!, kwenye Arts B, kwenye sciences zote tatu, Physics, Chemistry na Biology nina C, hivyo I had a broad choice combi zote zilikubali, hivyo nikasoma HGL by choice, lakini sio kuwa najitapa, kiukweli kwenye knowledge aquiring niko vizuri, hata huu uandishi wa habari naufanya for the love of it, kabatini kwangu kuna LL.B (hons) ya UDSM, imejilalia tuu!.

P

Kuna namna kweli unajua mambo mengi, ila Sasa wewe ndugu yangu, ni kama una malengo fulani ya nakuwa kama yanakupofusha hivi!
 
Wakifanya ubunifu huu watapata damu nyingi Sana
 
Huna pesa za matibabu toa damu yako hii system ni nzuri.
 
Tatizo unachanganya vitu. Waziri ni mwanasiasa na hapa anahamashisha uchangiaji wa Damu period. Mtaalam katika wizara ni Mganga Mkuu na kidogo Katibu Mkuu ingawa nayo ni managerial post (ambapo si lazima awe Mtaalam). Waziri yupo sahihi na hajapanga damu itatumikaje huko kwenye field. Medical ethics ni somo ujue!

Kama hujaelewa nieleze nikuelewishe zaidi ili uone Waziri yupo sahihi kwa nafasi yake kama mhamasishaji.
Hapa sijaona tatizo la waziri hata kidogo
 
Sisi wenye sickle cell tusioweza kuchangia damu, twaafwa!
 
Back
Top Bottom