Umoja ni nguvu: Wapinzani nchi hii bila kuungana wasahau kushika Dola

Umoja ni nguvu: Wapinzani nchi hii bila kuungana wasahau kushika Dola

Kwa vile waligundua mwenyekiti wa chama kimoja kikuu cha upinzani wakati ule anatamaa ya pesa kama vile fisi aonapo mfupa, basi wakatumia udhaifu huo wa mwenyekiti wa chama hicho kikuu kufanikisha mpango wao kwa kumjaza vijiela vya uongo ili atumie ubavu na ushawishi wake kumpenyeza Lowasa kwenye nafasi ya uraisi ili kupata mwanya wa kuusambaratisha umoja ule.
Wakamuongezea nguvu kwa kumpeleka Sumaye
 
UPUUZI MTUPU!

Friends and Enemies,

Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu Sana nchi hii Tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa,

Japo kama nchi tunahitaji chama Cha siasa kituongoze hatuna jins kuendelea na siasa,

Ni ukweli ulio wazi kuwa wanasiasa wengi nchi hii ni wachumia tumbo,wachache Sana wenye uzalendo ,

Hawa wapinzan tulionao hawataki kuambiwa ukweli kuwa umoja ni NGUVU,na bila kuungana wasahau kuiondoa CCM madarakan,

Ona wanachokifanya sasa hivi, badala ya kujikita katika kuungana na kutengeneza umoja wameanzisha harakati za kudai katiba mpya kwa makundi makundi, wanasahau kwanza kuungana na kudai hiyo katiba kwa umoja wao wameanza kudharauriana wenyewe kwa wenyewe,kwa style hiyo wataepuka vip hila za divide and rule?

Hawana misingi na mikakati thabiti, hawa ni waganga Njaa tuuh
 
Eti ccm wamebadilika!!!! Akili za wapi hizi? Kama wamebadilika kwanini wanahofia uchaguzi huru na wa haki kupitia Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi? Chadema haiwezi kuungana na mamluki ya maccm. ACT Wazalendo AKA act wasaliti, nccr mageuzi, tlp na cuf na mazagazaga yote mengine.
Hebu tuondolee upuuzi wako

Zama zimebadilika,generations pia zinabadilika,wanachoshindwa kuelewa no kwamba wenzako ccm nao wanabadilika ma hzo zama,wanataka kuendelea kubakia madarakan,
 
How opposition won that election comrade??

Election it's true that was rigd off,but voters turn over was extremely very minimal,walishindaje??
Wakati wa dhalimu Id hii na ya ritz zilipotea sana, na zozote sasa hivi zimerudi. Hazina muda Id hizi zitaanza kutetea uisilamu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wameshaanza udini wao Mkuu, eti Chadema wanamuonea mama kwa sababu ni muislamu na mwanamke. Utadhani hawakupambana na yule dhalimu magufuli hadi akaanza kuwabambikia kesi na kupanga kuwafilisi au hata kuwaua.

Wakati wa dhalimu Id hii na ya ritz zilipotea sana, na zozote sasa hivi zimerudi. Hazina muda Id hizi zitaanza kutetea uisilamu.
 
Bora wasiiingie madarakani kuliko kuungana na vibaraka. Cdm wasikosee wakarudia huo upuuzi. Issue ni katiba mpya, yoyote anayeitaka aidai kimpango wake.
Issue ni katiba mpya kila mtu aidai. Kwa njia tofauti sio lazima mbin u iwe moja.
 
Wameshaanza udini Mkuu wao eti Chadema wanamuonea mama kwa sababu ni muislamu na mwanamke. Utadhani hawakupambana na yule dhalimu magufuli hadi akaanza kuwabambikia kesi na kupanga kuwafilisi au hata kuwaua.
Watashindwa tu walishashindwa toka enzi na enzi. watanzania sio wajinga. Wamuulize Magufuli walichomfanya Iring hadi akapiga magoti
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Bora wali mkavu kuliko wali na maharage yaliyooza. Kuungana na Mrema sio kuongeza nguvu, ni kujimaliza kabisa
 
Wameshaanza udini wao Mkuu, eti Chadema wanamuonea mama kwa sababu ni muislamu na mwanamke. Utadhani hawakupambana na yule dhalimu magufuli hadi akaanza kuwabambikia kesi na kupanga kuwafilisi au hata kuwaua.

Nilipowaona tu wamerudi kwa kasi nikajua wanarudi na uisilamu wao. Bado dada yao faizafox
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Friends and Enemies,

Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu sana nchi hii tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa,

Japo kama nchi tunahitaji chama cha siasa kituongoze hatuna jins kuendelea na siasa.

Ni ukweli ulio wazi kuwa wanasiasa wengi nchi hii ni wachumia tumbo,wachache Sana wenye uzalendo.

Hawa wapinzan tulionao hawataki kuambiwa ukweli kuwa umoja ni NGUVU, na bila kuungana wasahau kuiondoa CCM madarakani.

Ona wanachokifanya sasa hivi, badala ya kujikita katika kuungana na kutengeneza umoja wameanzisha harakati za kudai katiba mpya kwa makundi makundi, wanasahau kwanza kuungana na kudai hiyo katiba kwa umoja wao wameanza kudharauriana wenyewe kwa wenyewe, kwa style hiyo wataepuka vip hila za divide and rule?

Hawana misingi na mikakati thabiti, hawa ni waganga njaa tu.
Muungano gani? Soma uwelewe ccm ni chama kama chama cha kikomunisti kule china we shangaa tu... Upinzani hakuna ila kama unataka pesa uwende motoni kuwa upinzani maana ni unafiki ulio tukuka... Umewahi kuona mahabusu anatolea
Saa isiokuwa ya kaZi na ana apishwa kuwa mbunge wa upinzani wewe uliona wapi? Kula ugali wako kalale... Siasa waachie waliokubali moto
 
Nani alikwambia Chadema wanataka ushauri wako wewe MATAGA? Nenda kawashauri MATAGA wenzio.

Sasa ndugu yangu mdude mbona unakuwa mkali..??

Mimi sijawashaur chadema,nimesema wapinzan,sasa ni hiyar yenu kuamua,

And take care of yourself mdude,people will drive 100 miles away come and burry you,but will never cross streets to help you,si umeona ulivyo sota lupango??

Teh teh teh
 
Upinzani kuungana pekee hakuwezi kuiondoa CCM madarakani.

Labda waungane huku CCM ikiwa imegawanyika.

Wakishindwa kuwaondoa, at least watengeneze hata serikali ya mseto,shida hawa ndug zetu ni wabinfsi Sana
 
Nilipowaona tu wamerudi kwa kasi nikajua wanarudi na uisilamu wao. Bado dada yao faizafox
Hiyo ni Islamophobia inawasumbua tuh,

Kwahiyo kuwaambia wapinzan wajipange waungane na uislam kunahusiana kitu gan??

Akili hizi ni za kina mdude na yericko nyerere hizi,ndiyo makamanda wenu hao
 
Bora wali mkavu kuliko wali na maharage yaliyooza. Kuungana na Mrema sio kuongeza nguvu, ni kujimaliza kabisa

Kwan lazima ujiunge na mrema au shibuda??

nyinyi shida yenu mnajiona nyinyi pekee ndiyo wapinzan nchi hii,

Kumbuka na nyie mna mapungufu yenu kibao tuh,

Ukiangalia idad kubwa ya wapinzan waliohama chama na kwenda kumuunga mkono mwendazake walikuwa ni chadema,mliwadisapoint Sana wananchi nyinyi,that's why watu wanawaona na nyinyi ni wale wale tuuh
 
Eti ccm wamebadilika!!!! Akili za wapi hizi? Kama wamebadilika kwanini wanahofia uchaguzi huru na wa haki kupitia Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi? Chadema haiwezi kuungana na mamluki ya maccm. ACT Wazalendo AKA act wasaliti, nccr mageuzi, tlp na cuf na mazagazaga yote mengine.
Hebu tuondolee upuuzi wako

Kwan huko ndan ya chadema,Kuna uchaguz huru na WA haki??

Mwenyekiti wa Chama yuko madarakani mwaka wa 17 huu,unataka kusemaje Kuna demokrasia hapo??

Mnajichoresha sana
 
Hiyo ni Islamophobia inawasumbua tuh,

Kwahiyo kuwaambia wapinzan wajipange waungane na uislam kunahusiana kitu gan??

Akili hizi ni za kina mdude na yericko nyerere hizi,ndiyo makamanda wenu hao
Waungane wanafanana mitazamo? Mpaka sasa ukiachia cdm na ACT, kuna chama kingine cha upinzani kimejitokeza kwa uwazi kudai hiyo katiba? Unalazimisha kuungana kisha kutokee kutokuelewana na kuishia kuchafuana? Ni hivi, anayetaka katiba aidai kivyake, cha muhimu ni kupata katiba mpya, kuungana ni agenda nyingine, na huko nyuma imefail.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom