Kwa hiyo Umoja Party sio chama cha upinzani!NAOMBA KADI KABISA,TUMECHOKA NA HAWA WASHENZI,CCM NA UPINZANI WAMEUNGANA KUIPORA NCHI,
Rafiki yangu mpya chinembe anawafahamu vizuri zaidi hawa Umoja sijui takataka gani, ngoja aje atufafanulieUmoja party njooni huku watu wengine tunawahitaji....
Rwanda Flag???View attachment 2192755View attachment 2192756View attachment 2192758
Naona Nembo mojawapo ya Chama ni picha ya JPM ππππ
Kama ukiwa asset watu watakutumia tu kufikia ndoto zao na watajaribu kuishi kama wewe, unafikiri ni kwa nini PLO Lumumba alihubiri Magulification of Africa, je alikuwa anamaanisha nini?
Hiki chama kinaweza kuwa chama kizuri kama kitakuwa kinaeneza sera na sio chuki, watu wamemis sana kusikia hoja zenye nguvu.
Wakihubiri kile wananchi wanataka kusikia watafika mbali.unafikiri watafika mbali?
NAOMBA KADI KABISA,TUMECHOKA NA HAWA WASHENZI,CCM NA UPINZANI WAMEUNGANA KUIPORA NCHI,