Umoja Party ni chama chenye mlengo upi, kinaamini katika maendeleo au katika Magufuli?

Umoja Party ni chama chenye mlengo upi, kinaamini katika maendeleo au katika Magufuli?

Nilichokiona hii Umoja Party ni chama cha team Msoga na Bi Tozo kuharibu upepo wa pro Magu... kwa jinsi tulivyo mapoyoyo tunaingoa mkenge..
Hapana kama ni hivyo tutajua kirahisi tu walio nyuma ya hicho chama watajitokeza baada ya huu mwaka ,ubaya wa ccm hupo zaidi kwa kikundi cha team msoga ni kama familia 100 hivi .
 
Hawa tangu watumie picha ya Magufuli Mwenyekiti wa zamani wa CCM nikawaona hamnazo. Yani mnatembelea mgongo wa marehemu mpate ufuasi . Haya kazi kwenu.
Hiyo picha inafukuza nzi wa chooni wote na wahuni wanaikimbia ,hivyo imewekwa kama kinga wewe siunaona hata wewe inakuumiza[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hiyo Umoja Party sio chama cha upinzani!

Hiki ni chama kinachokuja Kuteka watu na kuwatupa Cocobeach.

Kinakuja na sera za Kidikteta kama alivyokuwa Mwendazake.

Ni wafuasi watiifu kwa lile dude katili toka kanda ya ziwa.
 
Mnadanganywa na nyie mnakubali. Muanzilishi wa chama hicho ametokea AFFP na Wala sio CCM na Wala hawafuati ajenda za Magufuli za kutekana na kuuwana.
Sawa mkuu, wewe endelea tu kuwa na CHADEMA yako ambayo haifiati ajenda za Magufuli.
 
Uko sahihi 100% lakini mbona UMOJA PARTY hakina shida na mtu.Hii roho mbaya na kukisema vibaya inatokana na nini?
You never know open the bottle and see character of the genie/angel.
 
Fuatilia kwa umakini na uvumilivu ripoti ya CAG.
Usipoteze pumzi zako kuzungumzia ufisadi kama ufisadi ingekuwa ni dhambi kuu na adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa. Katika waliowahi kushika safu za uongozi CCM labda angebaki mzee Mangula,Malecela,Mwinyi,Warioba lakini familia nyengine wangenyongwa mpaka vitukuu. Tuache hayo maneno huyo CAG nae ni malaika kwani?
 
Tatizo chuma aliyaumiza sana hayo makundi uliyoyataja hapo kwamba yanamshambulia kwa sasa.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app

Siku zote kuna watu wataumizwa sababu ya sera, mtazamo, maono, itikadi, vipaumbele vya kiongozi aliyepo Madarakani.

Kiongozi yoyote kuna vitu atakosea kama binadamu, kumsahihisha hakuitaji kejeli, kebehi, kumuita majina, mshamba na kuweka ukabila,kutukana kabila lake lote. Ukianza kumtukana mtu ambanye yuko serious kujenga nchi ni vigumu yeye kuvsilikiza hoja yako.

Hata kama vitu anavyofanya kiongozi wa sasa ni vya hovyo sana, mara kumi zaidi ya mtangulizi wake unaamuunga mkono kisa mtangulizi wake alikuwa adui yako.

Inaonyesha mentality, attitude, akili, fikra za wahusika.
 
Mtu aliyeleta ukabila wa kutisha hapa nchini unamjua na unataka tuwaunge mkono wafuasi wake. ha ha ha haaaa

Awamu gani ni waasisi wa hili neno Sukuma Gang, kulisakama, kulitukana na kulidhalilisha kabila moja tu, wasukuma?

Awamu gani imeleta upendeleo wa kikanda, udini, kwenye teuzi, tenguzi, ajira, mgawanyiko wa mikopo, mapato ya serikali, nani sehemu gani inalipia hiyo mikopo.
 
Back
Top Bottom