Hapana kama ni hivyo tutajua kirahisi tu walio nyuma ya hicho chama watajitokeza baada ya huu mwaka ,ubaya wa ccm hupo zaidi kwa kikundi cha team msoga ni kama familia 100 hivi .Nilichokiona hii Umoja Party ni chama cha team Msoga na Bi Tozo kuharibu upepo wa pro Magu... kwa jinsi tulivyo mapoyoyo tunaingoa mkenge..
Hiyo picha inafukuza nzi wa chooni wote na wahuni wanaikimbia ,hivyo imewekwa kama kinga wewe siunaona hata wewe inakuumiza[emoji1787][emoji1787]Hawa tangu watumie picha ya Magufuli Mwenyekiti wa zamani wa CCM nikawaona hamnazo. Yani mnatembelea mgongo wa marehemu mpate ufuasi . Haya kazi kwenu.
Kwa hiyo Umoja Party sio chama cha upinzani!
Mh. Jacob amepotoka kama amehama kutoka CHADEMA!View attachment 2192755View attachment 2192756View attachment 2192758
Naona Nembo mojawapo ya Chama ni picha ya JPM ππππ
Siyo Mrengo ni Mlengo!Sio MLENGO ni MRENGO
Hoja iliyo mezani ni chama cha umoja na sio Chadema.Mh. Jacob amepotoka kama amehama kutoka CHADEMA!
Sawa mkuu, wewe endelea tu kuwa na CHADEMA yako ambayo haifiati ajenda za Magufuli.Mnadanganywa na nyie mnakubali. Muanzilishi wa chama hicho ametokea AFFP na Wala sio CCM na Wala hawafuati ajenda za Magufuli za kutekana na kuuwana.
You never know open the bottle and see character of the genie/angel.Uko sahihi 100% lakini mbona UMOJA PARTY hakina shida na mtu.Hii roho mbaya na kukisema vibaya inatokana na nini?
Usipoteze pumzi zako kuzungumzia ufisadi kama ufisadi ingekuwa ni dhambi kuu na adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa. Katika waliowahi kushika safu za uongozi CCM labda angebaki mzee Mangula,Malecela,Mwinyi,Warioba lakini familia nyengine wangenyongwa mpaka vitukuu. Tuache hayo maneno huyo CAG nae ni malaika kwani?Fuatilia kwa umakini na uvumilivu ripoti ya CAG.
Tatizo chuma aliyaumiza sana hayo makundi uliyoyataja hapo kwamba yanamshambulia kwa sasa.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Mtu aliyeleta ukabila wa kutisha hapa nchini unamjua na unataka tuwaunge mkono wafuasi wake. ha ha ha haaaa