Umoja wa Mataifa UN waipongeza Tanzania kwa mchango wake kulinda amani

Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana.
Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama ee,
Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote.,...
 
Uzi umedoda!😂😂😂
 
Utashangaa Ma CHADEMA yanapinga na kuona wivu. Maana yenyewe yanapenda kusikia habari mbaya tu kwa Nchi yetu utafikiri ma chawi.
 
Utashangaa Ma CHADEMA yanapinga na kuona wivu. Maana yenyewe yanapenda kusikia habari mbaya tu kwa Nchi yetu utafikiri ma chawi.
hata hawawezi pinga maana aibu inajionyesha waazii! yaan usifiwe kwa jirani kuwa unapeleka chakula kwao halafu kwako unaua badala ya kuwapa chakula!

away ulitlyemsaidi atakuwa anakucheka tu
 
Unasonga mbele na nani we chawa.
 
WANALINDA WAPI? KWAO WANAUA KWA JIRANI WANALINDA SBB YA MASLAHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…