Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto kwa kuajiriwa na magenge ya kihalifu, huku ghasia zinazoongezeka katika mji mkuu wa #Port-au-Prince, zikisabisha vifo vya makumi ya raia na zikiwalazimisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao
-
Naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa, Farhan Haq ameonya kwamba machafuko yanaongezeka baina ya magenge ya uhalifu nchini katika vitongoji vya Croix-des-Bouquets, Cite Soleil, Bas Delmas na Martissant
-
#Haiti imekumbwa na machafuko yanayosababishwa vurugu za magenge hasimu ya yenye silaha yanayoendelea tangu Aprili 24 ambayo yanaathiri jamii za kaskazini na kaskazini mashariki mwa Port-au-Prince, mji mkuu wa nchi hiyo
........................................
The United Nations has expressed concern over the recruitment of children by Haitian gangs, as escalating violence in the capital, Port-au-Prince, has forced thousands from their homes and killed dozens of civilians.
The UN “is particularly worried about the recruitment of minors within the gangs, one of the six serious violations of the rights of the child”, the Integrated Office of the United Nations in Haiti tweeted on Wednesday.
The UN in Haiti “condemns the armed gang violence ongoing since April 24 that is affecting the communities in the north and northeast of Port-au-Prince, which has killed dozens of Haitians and injured and displaced thousands of others”, it said.
A day earlier, the UN’s deputy spokesman Farhan Haq warned that unrest was growing between gangs in the neighbourhoods of Croix-des-Bouquets, Cite Soleil, Bas Delmas and Martissant.
Source: Aljazeera