Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
October ya mwaka ganiMagufuli anaondoka madarakani october kiburi hakijawai kumwacha mtawala salama tutarudi kujikumbusha hapa. Mungu uwa ahachi kuwachapa madicteta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
October ya mwaka ganiMagufuli anaondoka madarakani october kiburi hakijawai kumwacha mtawala salama tutarudi kujikumbusha hapa. Mungu uwa ahachi kuwachapa madicteta
anang'oka .Mwa Africa haachi tabia yake
Wazungu sijui wameroga wa Africa kwa style gani [emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa kwani walilaani mauaji ya George Floyd?
Mungu Wabariki Wazungu
No halali mlevi kupigwa na wapi uliambiwa nchi hi ulevi ni jinai??Yaani wanamtetea mlevi?
I heard Mr Mbowe himself is the perpetrator - he is danger to himself, he was drunk and slipped on the stairs!EU WALAANI KUSHAMBULIWA KWA FREEMAN MBOWE
Viongozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Tanzania watoa kauli ya Pamoja juu ya shambulio dhidi ya Freeman Mbowe "Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa upinzani katika Bunge la Tanzania Freeman Aikaeli Mbowe,
=======
Joint Statement by the European Union Heads of Mission in Tanzania on the attack against Mr Freeman Mbowe, national Chairman of CHADEMA and leader of the opposition in the Tanzanian Parliament.
“Mr Freeman Mbowe, national Chairman of CHADEMA and leader of the opposition in the Tanzanian Parliament, was attacked by unknown assailants on Tuesday 9 June while returning home in Dodoma. Mr Mbowe suffered several injuries and is receiving treatment at the hospital.
The European Union Heads of Mission in Tanzania express their sympathy to Mr. Freeman Mbowe and wish him a speedy recovery.
Every attack against a representative of the institutions of the United Republic of Tanzania, whatever his/her political affiliation, is an attack against democracy. With general elections only a few months ahead of us it is essential to let democracy take its course and ensure all conditions to full participation in credible and transparent elections.
The European Union Heads of Mission trust that the authorities will successfully investigate and bring the perpetrators to justice.”
Joint Statement by the European Union Heads of Mission in Tanzania on the attack against Hon. Freeman Mbowe
oktoba mbali mbona, aondoke hata leo.Magufuli anaondoka madarakani october kiburi hakijawai kumwacha mtawala salama tutarudi kujikumbusha hapa. Mungu uwa ahachi kuwachapa madicteta
Ulikuwa wapi,ujaonaHatujaona kauli ya pamoja ya kulaani mauwaji ya mtu mweusi huko Marekani
Wanatukanwa wanaitwa eti mabeberu na bado wanatoa misaada huku wanatukanwa na wasio shukraniWanyimeni misaada na mikopo vinginevyo huu ushetani utaendelea kwani hatuoni uchunguzi wa maana ukifanyika.
The government should advice EU and all politicians that if they need the Government protection which will assure them their security, then they should be giving details of their movement to the relevant government organs.Joint Statement by the European Union Heads of Mission in Tanzania on the attack against Hon. Freeman Mbowe
Dar es Salaam, 09/06/2020 - 17:19, UNIQUE ID: 200609_18
Local Statements
Joint Statement by the European Union Heads of Mission in Tanzania on the attack against Mr Freeman Mbowe, national Chairman of CHADEMA and leader of the opposition in the Tanzanian Parliament.
Every attack against a representative of the institutions of the United Republic of Tanzania, whatever his/her political affiliation, is an attack against democracy. With general elections only a few months ahead of us it is essential to let democracy take its course and ensure all conditions to full participation in credible and transparent elections.
The European Union Heads of Mission trust that the authorities will successfully investigate and bring the perpetrators to justice.
Source : Joint Statement by the European Union Heads of Mission in Tanzania on the attack against Hon. Freeman Mbowe
Hao ndo chadema, halafu wanataka tuwape nchi? Wataisikia kwenye magazeti tu.
Wamalizane kwanza na coronaMtawatambua mabeberu safari hii
Mwenyekiti ndiyo kanyooshwa. Joyce Mukya akalala mbeleMtanyooshwa dadeekiii
Unamsema Baba akoYaani wanamtetea mlevi?
Mwenyekiti ndiyo kanyooshwa. Joyce Mukya akalala mbele
Wamalizane kwanza na corona