[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeah kweli kabisaaaaaaWakati huo wamejipatia mtaji wa biashara ndogo ndogo na kilimo!
Ee mwenyezi Mungu, gusa moyo wa kijana huyu, ulainishe na ponya majeraha yake. Amen.Hata wakitokea hiyo misaada, msimamo wetu uko pale pale.Haramu ni haramu tu...
Vp hawa sio mabeberu?Lisu bado hajatoa tamko huko ubelgiji?
Uko na akiri gani wewe? Hata akiwa jiranibyako mzawa mwenzako akiwa anataka kukukoromea shingoni kwa kukusaidia basi huyo ni beberu, hata kama ni mweusi. Hata wale wanaotumika kinyume cha maumbile nao wana mabeberu bwao.Kumbe sio mabeberu tena...
Nchi yetu tajiri hii bado tunataka misaada?EU na WB zimetoa msaada kwa Tanzania kufadhili miradi mbalimbali ikiwemo njia ya umeme wa KV 400 kwenda mpaka wa Tanzania na Zambia. Hili ni pigo kwa viongozi wa upinzani hasa Chadema wakiongozwa na TUNDU kwa upuuzi waliokuwa wakiufanya kuzurura kuisingizia nchi mambo mabaya ili tu kuona nchi inakwama kupiga hatua za kimaendeleo. Sasa wataaibika na ndio mwanzo wa mwisho wa siasa zao za matukio na kupiga madili.
Nakazia kwa video hii hapa chini
We kamanda uchwara kila siku unatoa post za uongo, ukisema Eu wamekataa kuisaidia Tanzania. Leo umeumbuka kamanda uchwara.Rudisheni hela za mabeberu kama mna ubavu. Ki-nchi masikini ila majigambo utadhani kina uwezo!Pathetic!
Unajua tafsiri ya neno beberu?Hahaha mabeberu kumbe yanatusaidia?!
Kesho mkiisha sahau mtasema ni pesa za ndani.
Hahaha tusaidie maana ni msamiati wa ccm huo.Unajua tafsiri ya neno beberu?
Unajisumbua tuHata wakitokea hiyo misaada, msimamo wetu uko pale pale.Haramu ni haramu tu...
Hahaha ccm wanapewa dose na beberu?!Kaa kimya na funga bakuli🤐
CC Zito na lisu kokote walipo maana kila wanalofanya wanapuuzwa kuanzia ndani hadi nje ya nchi
Thubutu yake ! Anaubavu huo ? Atulie tuu alelewe.Lisu bado hajatoa tamko huko ubelgiji?
Kwa hiyo ulitaka tukatae misaada, mkibinywa tu kidogo kodi mnalalamika hakuna pesa mtaani.Nchi yetu tajiri hii bado tunataka misaada?
Hivi ninyi mnasema haramu hebu leteni na muweke hapa ushahidi wa uharamu. Acheni upuuzi wa kijingaa bhanaHata wakitokea hiyo misaada, msimamo wetu uko pale pale.Haramu ni haramu tu..
Kwa kipigo alichokipokea hatokaa arudie tena upuuzi wake.Thubutu yake ! Anaubavu huo ? Atulie tuu alelewe.
Umeme ukiwaka zima basi tukuone kama wewe kweli ni mfia chama. Sio inaropoka hapa ukifika kwako inabofya switch ya umemeRudisheni hela za mabeberu kama mna ubavu. Ki-nchi masikini ila majigambo utadhani kina uwezo!Pathetic!
Kumbe hela ya mabeberu ni muhimu!!!Umeme ukiwaka zima basi tukuone kama wewe kweli ni mfia chama. Sio inaropoka hapa ukifika kwako inabofya switch ya umeme
Wanarudisha ujira wa kuwatumikisha mababu zetu. Acha watulipe wajukuu tule pensheniKumbe hela ya mabeberu ni muhimu!!!