Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

Wakati huo wamejipatia mtaji wa biashara ndogo ndogo na kilimo!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeah kweli kabisaaaaaa
Kazi ya miezi sita had mwaka mmoja unapata mtaji wa kilimoo[emoji3134] #vivamagu[emoji23]
Mwingine ni mwalimu miaka kumi na hana hata kiwanja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wooooooow magu!!!!
 
Kumbe sio mabeberu tena...
Uko na akiri gani wewe? Hata akiwa jiranibyako mzawa mwenzako akiwa anataka kukukoromea shingoni kwa kukusaidia basi huyo ni beberu, hata kama ni mweusi. Hata wale wanaotumika kinyume cha maumbile nao wana mabeberu bwao.
 
EU na WB zimetoa msaada kwa Tanzania kufadhili miradi mbalimbali ikiwemo njia ya umeme wa KV 400 kwenda mpaka wa Tanzania na Zambia. Hili ni pigo kwa viongozi wa upinzani hasa Chadema wakiongozwa na TUNDU kwa upuuzi waliokuwa wakiufanya kuzurura kuisingizia nchi mambo mabaya ili tu kuona nchi inakwama kupiga hatua za kimaendeleo. Sasa wataaibika na ndio mwanzo wa mwisho wa siasa zao za matukio na kupiga madili.

Nakazia kwa video hii hapa chini

Nchi yetu tajiri hii bado tunataka misaada?
 
Rudisheni hela za mabeberu kama mna ubavu. Ki-nchi masikini ila majigambo utadhani kina uwezo!Pathetic!
We kamanda uchwara kila siku unatoa post za uongo, ukisema Eu wamekataa kuisaidia Tanzania. Leo umeumbuka kamanda uchwara.
 
Nchi yetu tajiri hii bado tunataka misaada?
Kwa hiyo ulitaka tukatae misaada, mkibinywa tu kidogo kodi mnalalamika hakuna pesa mtaani.

Nchi inapoongelewa kwa utajiri inamaanisha rasilimali zilizopo na sio kama akili yenu inavyowatuma. Rasimali hizo zikitumika vyema nchi itapiga hatua za maendeleo. Na maendeleo ni hatua na sio kitu unamka asubuhi tayari wewe ni nchi tajiri yenye uchumi mkubwa wa dunia ya kwanza.
 
Hata wakitokea hiyo misaada, msimamo wetu uko pale pale.Haramu ni haramu tu..
Hivi ninyi mnasema haramu hebu leteni na muweke hapa ushahidi wa uharamu. Acheni upuuzi wa kijingaa bhana
 
Rudisheni hela za mabeberu kama mna ubavu. Ki-nchi masikini ila majigambo utadhani kina uwezo!Pathetic!
Umeme ukiwaka zima basi tukuone kama wewe kweli ni mfia chama. Sio inaropoka hapa ukifika kwako inabofya switch ya umeme
 
Back
Top Bottom