Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

Ila mkianza kuchanjwa kuondolewa vizazi na Bill Hates msianze kuruka tu, hela zao mnafurahia, lkn lazima mchanjwe na Bill Hates , ...
Mkuu ikija chanjo kachanje tu, kizazi chako kitakuwa salama tu.
 
Hela mmepewa na ufaransa au jumuiya ya Ulaya?? Hizo hela wametoa ufaransa kwa mgongo wa umoja wa Ulaya wala sio umoja wa Ulaya ndo mana hapo wapo wafaransa tu...
Jidanganye, jitekenye kisha cheka mwenyewe mkuu. Wawakilishi gani waliopo hapo.
 
Hata wakitokea hiyo misaada, msimamo wetu uko pale pale.Haramu ni haramu tu.

Hakuna fedha ya msaada au mmkopo inayoweza kulingana na utu wa mwanadamu, hivyo misaada au mikopo haiwezi kutunyamazisha wala ku-justfy uovu dhidi ya wanadamu....
Mungu wabariki wazungu...
Erythrocyte.
 
EU na WB zimetoa msaada kwa Tanzania kufadhili miradi mbalimbali ikiwemo njia ya umeme wa KV 400 kwenda mpaka wa Tanzania na Zambia. Hili ni pigo kwa viongozi wa upinzani hasa Chadema wakiongozwa na TUNDU kwa upuuzi waliokuwa wakiufanya kuzurura kuisingizia nchi mambo mabaya ili tu kuona nchi inakwama kupiga hatua za kimaendeleo. Sasa wataaibika na ndio mwanzo wa mwisho wa siasa zao za matukio na kupiga madili.

Kumbe pesa za mabeberu tamu!
 
Hyo SIO sababu ya kuhalalisha UJAMBAZI wenu
Hivi mnaamini kabisa kuwa chadema ndio jicho la nchi za ulaya hapa tz? Kwamba hawana mabalozi na wawakilishi waliopo field hapa tz?
Chadema bhana, ishakufa
 
Swali langu ni moja tu.mkataba wa mkopo kwa ajiri ya ujenzi wa barabara ya njia sita kati ya ubungo na chalinze,uliwahi kusainiwa kati ya serikali yetu na WB? Je barabara imejengwa?kama tunahitiji mikopo na misaada kwa nini tunafanya mambo ya kijinga,mambo yanayoweza kuifanya nchi yetu ikose hiyo misaada na mikopo? Tunafanya ujinga huo kwa faida ya nani?
Hapa tunaongelea Bilioni 84 za umeme sio barabara ya Chalinze. BTW, unafurahi tukikosa pesa?
 
Hata wakitokea hiyo misaada, msimamo wetu uko pale pale.Haramu ni haramu tu.

Hakuna fedha ya msaada au mmkopo inayoweza kulingana na utu wa mwanadamu, hivyo misaada au mikopo haiwezi kutunyamazisha wala ku-justfy uovu dhidi ya wanadamu.

Vile vile, wakiamua kutoa misaada na kwa vyama vya siasa, tusisikie mnawaita mabeberu huku fedha zao mnapokea.

Wazungu hawa wakisimama upande wa haki, tutwaunga mkono,na wakisimama upande wa dhuluma, tutawapinga.

Nitasimama upande wa haki hata kama shetani ndio atakuwa anatoa haki hiyo, na nitapinga dhuluma hata kama inatoka kwa au ina mkono wa malaika.

Mwisho,wazungu hawa angekuwa na roho za chuki na visasi kama wakoloni weusi, hiyo misaada na mikopo wasingeitoa kwa jinsi wanavyodhalilishwa kwa kuitwa mabeberu huku Kabudi akiwatolea maneno yasiyofaa.

Msisahau na za matundu ya choo kwa watoto wetu huko St.Kayumba.
Kimsingi wazungu wanaangalia maslahi yao zaidi kuliko ya mtu ,kwa kuwa kwao ni muhimu Sana kuwa na Tzn kwenye himaya yao kuliko kuiachia China ushawishi
 
HAUWEZI ukasema chadema imekufa you mliwaibia kura
Hivi mnaamini kabisa kuwa chadema ndio jicho la nchi za ulaya hapa tz? Kwamba hawana mabalozi na wawakilishi waliopo field hapa tz?
Chadema bhana, ishakufa
 
Hizi ni habari njema kwa nchi yetu.

Muhimu uwe ni msaada na si mkopo!

Hongera Rais Magufuli na watendaji wote mliofanikisha hili.

Magu kila siku anakuambia duniani hatuna wajomba wa kutusaidia, ---- hiyo ni mikopo watakayolipa wana Chadema, wana ACT na Wana CCM.
 
EU na WB zimetoa msaada kwa Tanzania kufadhili miradi mbalimbali ikiwemo njia ya umeme wa KV 400 kwenda mpaka wa Tanzania na Zambia. Hili ni pigo kwa viongozi wa upinzani hasa Chadema wakiongozwa na TUNDU kwa upuuzi waliokuwa wakiufanya kuzurura kuisingizia nchi mambo mabaya ili tu kuona nchi inakwama kupiga hatua za kimaendeleo. Sasa wataaibika na ndio mwanzo wa mwisho wa siasa zao za matukio na kupiga madili.

Nakazia kwa video hii hapa chini

Hao ni wafadhili au mabeberu??!!
 
Kuna wale waliotengeneza kiki ya kutimukia ugaibuni, wakikwepa aibu ya kugaragazwa kwenye uchaguzi, wakisikia hizi habariii watajiuaa kwa pressure
Screenshot_20201211-094859.png
 
Hata wakitokea hiyo misaada, msimamo wetu uko pale pale.Haramu ni haramu tu.

Hakuna fedha ya msaada au mmkopo inayoweza kulingana na utu wa mwanadamu, hivyo misaada au mikopo haiwezi kutunyamazisha wala ku-justfy uovu dhidi ya wanadamu.

Vile vile, wakiamua kutoa misaada na kwa vyama vya siasa, tusisikie mnawaita mabeberu huku fedha zao mnapokea.

Wazungu hawa wakisimama upande wa haki, tutwaunga mkono,na wakisimama upande wa dhuluma, tutawapinga.

Nitasimama upande wa haki hata kama shetani ndio atakuwa anatoa haki hiyo, na nitapinga dhuluma hata kama inatoka kwa au ina mkono wa malaika.

Mwisho,wazungu hawa angekuwa na roho za chuki na visasi kama wakoloni weusi, hiyo misaada na mikopo wasingeitoa kwa jinsi wanavyodhalilishwa kwa kuitwa mabeberu huku Kabudi akiwatolea maneno yasiyofaa.

Msisahau na za matundu ya choo kwa watoto wetu huko St.Kayumba.
Rudisheni ruzuku ya nov mliyoipokea kutokana uchaguzi mlioubatiza "haramu"
 
Back
Top Bottom