Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

Hao ni wafadhili au mabeberu??!!
Haijalishi sisi tumepokea mpunga. Wakitupatia bila ya masharti ya kipuuzi ni washirika wa maendeleo, ya kijinga ni mabeberu
 
Leo mabeberu mnawaita wafadhili eti ee. Kweli mafiesm hamnazo
Unaelewa tofauti ya mabeberu na washirika wa maendeleo.

Mfano wa beberu ni Robert Amsterdam alivyomtumia TUNDU kutaka kupora mali za nchi. Alikuwa akielekezwa kila jambo na pia kuaminishwa ataenda ICC naye bongo lala linafuata tuu
 
Kuna watu washasahau kuwa hii nchi ni yao na si ya Magufuli au serikali ya ccm,Magufuli na ccm ni kama doa tu kwenye shuka hivyo hatuwezi kususia shuka lote kwa sababu ya uwepo wa hilo doa .
 
EU na WB zimetoa msaada kwa Tanzania kufadhili miradi mbalimbali ikiwemo njia ya umeme wa KV 400 kwenda mpaka wa Tanzania na Zambia. Hili ni pigo kwa viongozi wa upinzani hasa Chadema wakiongozwa na TUNDU kwa upuuzi waliokuwa wakiufanya kuzurura kuisingizia nchi mambo mabaya ili tu kuona nchi inakwama kupiga hatua za kimaendeleo. Sasa wataaibika na ndio mwanzo wa mwisho wa siasa zao za matukio na kupiga madili.

Nakazia kwa video hii hapa chini

Hakuna wa kupinga, naomba upande wa pili pia wabadilishe majina, tuwape hawa jamaa jina wanalostahili, iwe marafiki wa maendeleo, wahisani, wafadhili nk. Lile la ‘Mabeberu’ haliwafai kwa kweli, siyo kwa mamilioni hayo!
 
Wapinzani wa maendeleo ni maadui kama ujinga,maradhi na umasikini, tutapambana nao tu.
 
Hata wakitokea hiyo misaada, msimamo wetu uko pale pale.Haramu ni haramu tu.

Hakuna fedha ya msaada au mmkopo inayoweza kulingana na utu wa mwanadamu, hivyo misaada au mikopo haiwezi kutunyamazisha wala ku-justfy uovu dhidi ya wanadamu.

Vile vile, wakiamua kutoa misaada na kwa vyama vya siasa, tusisikie mnawaita mabeberu huku fedha zao mnapokea.

Wazungu hawa wakisimama upande wa haki, tutwaunga mkono,na wakisimama upande wa dhuluma, tutawapinga.

Nitasimama upande wa haki hata kama shetani ndio atakuwa anatoa haki hiyo, na nitapinga dhuluma hata kama inatoka kwa au ina mkono wa malaika.

Mwisho,wazungu hawa angekuwa na roho za chuki na visasi kama wakoloni weusi, hiyo misaada na mikopo wasingeitoa kwa jinsi wanavyodhalilishwa kwa kuitwa mabeberu huku Kabudi akiwatolea maneno yasiyofaa.

Msisahau na za matundu ya choo kwa watoto wetu huko St.Kayumba.
Hamueleweki.Wakati tumegharamikia uchaguzi wetu wenyewe mmelalamika kwa nini hutukusaidiwa wakati pesa zile zipo (B.MEMBE),sasa hapa msaada umetolewa mnakerwa.Nyinyi vipi ?
 
Hata wakitokea hiyo misaada, msimamo wetu uko pale pale.Haramu ni haramu tu.

Hakuna fedha ya msaada au mmkopo inayoweza kulingana na utu wa mwanadamu, hivyo misaada au mikopo haiwezi kutunyamazisha wala ku-justfy uovu dhidi ya wanadamu.

Vile vile, wakiamua kutoa misaada na kwa vyama vya siasa, tusisikie mnawaita mabeberu huku fedha zao mnapokea.

Wazungu hawa wakisimama upande wa haki, tutwaunga mkono,na wakisimama upande wa dhuluma, tutawapinga.

Nitasimama upande wa haki hata kama shetani ndio atakuwa anatoa haki hiyo, na nitapinga dhuluma hata kama inatoka kwa au ina mkono wa malaika.

Mwisho,wazungu hawa angekuwa na roho za chuki na visasi kama wakoloni weusi, hiyo misaada na mikopo wasingeitoa kwa jinsi wanavyodhalilishwa kwa kuitwa mabeberu huku Kabudi akiwatolea maneno yasiyofaa.

Msisahau na za matundu ya choo kwa watoto wetu huko St.Kayumba.
Umeongea kwa uchungu sana
 
Ni kwa nini tusaudiwe. Kwani sisi ni walemavu tusioweza kujitegemea?

Hizi habar za kupewa msaada huwa sipendi kabisa kusikia.

Jaribu kuwaza tu,wewe katika familia yako litokee lijitu lianze tu kukuletea hela ama vitu ili uendelee kuishi.

Sijawahi elewa mantiki ya msaada kwa taasi hasa kama serikali.
Hizi ni fikra zako na naziheshimu.

Shukran mkuu
 
Shukran
Magu kila siku anakuambia duniani hatuna wajomba wa kutusaidia, ---- hiyo ni mikopo watakayolipa wana Chadema, wana ACT na Wana CCM.
Fikirishi hii.
 
Rudisheni hela za mabeberu kama mna ubavu. Ki-nchi masikini ila majigambo utadhani kina uwezo!Pathetic!
Mabeberu kila siku anajipendekeza kutoa misaada.Nikusikia anazitaka zile za covid,kiko wapi?? Kabudi ni jembeee
 
Back
Top Bottom