Jumuiya ya Ulaya (EU) ni wepesi kuinyooshea vidole Afrika inapopambana kutatua masuala yake, iko kimya kunyoosha vidole yanapotokea kwa wanachama wao mambo kama yaleyale ya Afrika.
Msikilize Macron nae anavyotatua masuala ya nchi yake kama vilevile tunavyotatua sisi huku.
View: https://youtu.be/pyx3fgWVuC0?si=uQT2LvFyNyPka6t3
Kumbe kavulata na Malaria 2 ni ID za mtu mmoja!!!!Jumuiya ya Ulaya (EU) ni wepesi kuinyooshea vidole Afrika inapopambana kutatua masuala yake, iko kimya kunyoosha vidole yanapotokea kwa wanachama wao mambo kama yaleyale ya Afrika.
Msikilize Macron nae anavyotatua masuala ya nchi yake kama vilevile tunavyotatua sisi huku.
View: https://youtu.be/pyx3fgWVuC0?si=uQT2LvFyNyPka6t3
Tunawaomba hela zetu walizotuibia na wanazoendelea kutupora, sio vinginevyo. Ulaya sasa hivi imefilisika hata wao. Huu mgomo wa Ufaransa unasababishwa na hali mbaya ya maisha.Mpaka mkiacha kuwaomba hela na wao wataacha kuwaongelea
Miradi yenu yote ni kwa hisani YA
Mpaka vyoo vya wanafunzi ni kwa hisani YA
Mpaka madawati ya primary ni kwa hisani YA
Jumuiya ya Ulaya (EU) ni wepesi kuinyooshea vidole Afrika inapopambana kutatua masuala yake, iko kimya kunyoosha vidole yanapotokea kwa wanachama wao mambo kama yaleyale ya Afrika.
Msikilize Macron nae anavyotatua masuala ya nchi yake kama vilevile tunavyotatua sisi huku.
View: https://youtu.be/pyx3fgWVuC0?si=uQT2LvFyNyPka6t3
Eti hadi David McAlister hajaona chochote mpaka sasa, anaiona Tanzania tu dah 🐒Jumuiya ya Ulaya (EU) ni wepesi kuinyooshea vidole Afrika inapopambana kutatua masuala yake, iko kimya kunyoosha vidole yanapotokea kwa wanachama wao mambo kama yaleyale ya Afrika.
Msikilize Macron nae anavyotatua masuala ya nchi yake kama vilevile tunavyotatua sisi huku.
View: https://youtu.be/pyx3fgWVuC0?si=uQT2LvFyNyPka6t3
Mpaka mkiacha kuwaomba hela na wao wataacha kuwaongelea
Miradi yenu yote ni kwa hisani YA
Mpaka vyoo vya wanafunzi ni kwa hisani YA
Mpaka madawati ya primary ni kwa hisani YA
Wamezoea kutuonyesha ya kwetu, sasa ni zamu yetu kuwaonyesha ilipo ya kwao. Macron katoa amri ya kukaa ndani wananchi wote kwenye miji fulani kama tunavyofanya sisi huku. Kumbe hata wao hawataki wahuni wasiotaka mazungumzo.Well said tuwaoneshe Mkunduu wao
HAta hapa kwetu kama wangebeba mabango yenye jumbe kama wale wafaransa hali isingekuwa vile. Hawa wa kwetu hawakutoa taarifa popote. Hata serikali ilisema hakuna nywi wala nywinywinywi, maana yake hawakuwa wamejiandaa kwa maandamano wala vurugu. Ile ambush waliyofanya ndiyo iliyozalisha vifo vyao.MImi nawapongeza kwa kujali uhai wa binadamu.
Ulikua hujui kaka