HAta hapa kwetu kama wangebeba mabango yenye jumbe kama wale wafaransa hali isingekuwa vile. Hawa wa kwetu hawakutoa taarifa popote. Hata serikali ilisema hakuna nywi wala nywinywinywi, maana yake hawakuwa wamejiandaa kwa maandamano wala vurugu. Ile ambush waliyofanya ndiyo iliyozalisha vifo vyao.