Umoja wa Ulaya na wenyewe unajiandaa kupitia upya sera ya miasada wanayotoa

Ugali moto mboga moto!

Tawala za kiAfrika safari hii zitaisoma namba!
 
Tozo Kwa wananchi ni upuuzi wanapaswa kupunguza matumizi ya serikali.
 
Tozo Kwa wananchi ni upuuzi wanapaswa kupunguza matumizi ya serikali.
Uvivu wa watawala katika kuwaza na kubuni vyanzo vya mapato hupelekea kukimbilia kwenye kutoza wananchi.

Katika fikra ya mtawala wa kiafrika ni kuwa mwananchi ni ng'ombe wake wa maziwa.

Na kila tozo mpya inapokuja ni faida kwa walio mamlakani maana wanajichitoea watakavyo.
 
Ugali moto mboga moto!

Tawala za kiAfrika safari hii zitaisoma namba!
Sio tu watawala wataisoma, 100% wananchi ndio wataumia ukiachilia mbali waliokua watumishi wa mashirika hayo kuna watu waliokua wana uhitaji maalum pamoja na wafanya biashara napia mzunguko wa pesa maeneo husika utashuka sana.
 
Ndio mkuu, hawa walikua chini ya udhamini wa USAID.
Ngoja tusubiri kusikia mashirika mengine yalio dhaminiwa na CDC
Daaahhhh!!! Sasa sijui itakuaje lakini hawa ndugu zetu!. Ni ghafla sana tatizo
 
Sio tu watawala wataisoma, 100% wananchi ndio wataumia ukiachilia mbali waliokua watumishi wa mashirika hayo kuna watu waliokua wana uhitaji maalum pamoja na wafanya biashara napia mzunguko wa pesa maeneo husika utashuka sana.
Yahhh..maana hawa wanasaidiwa ndio waathirika namba 1, waajirwa namba 2 na service providers kwenye hayo mashirika mfano suppliers nao wataumia pia
 
Daaahhhh!!! Sasa sijui itakuaje lakini hawa ndugu zetu!. Ni ghafla sana tatizo
Kuna baadhi ya miradi naskia imekataliwa kabisa kutokana na sababu kama za transgender, upigaji na mambo mengine kama hayo.
Lakini kuna miradi ambayo imekataliwa pia kwasababu serikali zinapaswa kuwajibika moja kwa moja kwa watu wake.
Ila pia ipo miradi ambayo bado itaendelea kudhaminiwa kutokana na umuhimu kama mdhamini alivyo ona.
Kwa walio/watakao achishwa kazi tunabaki kusema akili mkichwa kwani maisha lazima yaendelee.
Ila kwa wale ambao walikua wanategemea malisho, biashara, washikadau nakadhalika ndio watakua waathirika wakubwa kwenye hili.
 
Sio tu watawala wataisoma, 100% wananchi ndio wataumia ukiachilia mbali waliokua watumishi wa mashirika hayo kuna watu waliokua wana uhitaji maalum pamoja na wafanya biashara napia mzunguko wa pesa maeneo husika utashuka sana.
Bora umewakumbusha
 
Wathirika katika hili sakata ni wengi:
1. Waajiriwa
2. Watoa huduma
3. Serikali
4. Wanufaika/wananchi

Flow ya pesa itashuka na kuathiri kundi kubwa sana. Sio kilio cha mmoja, ila ni vema sasa serikali ikajipanga kuishi bila misaada, kupunguza government spending, kurestructure senior officials' salaries ili kuendana na maisha halisi ya mtanzania
 
Kuna kitu watu wengi hamkielewi hawa wazungu siyo kama wanatoa hela bure kama mnavyoaminishwa, hizi hela kuna return wanaitegemea kutoka nchi za africa
Interms of influence ,interests na wizi kwenye natural resources
Hawa wazungu hata wafanyaje hawawezi kuishi bila ya africa
 
Tutegemee dola kupanda hadi sh 5000 soon
 
Hapo ukute wanafanya review ni nchi zipi zina mali za kutosha.
 
Uchumi wa pesa ni hatari sana yaani ukikosa pesa na habari yako kwisha , ukiwa na bidhaa ua mazao lazima ubadilishe kuwa pesa ...Ndiyo maana ajira na biashara ni muhimu sana , naona vijana wanaenda kukosa ajira .

Kwa sasa hata uwe na mifugo buku ila kama hautaweza kuuza ili kupata pesa unabki kuwa maskini tu .
 
Ni jambo ambalo litajenga discipline ya matumizi kwa viongozi wetu na itapunguza wizi na ubadhirifu , kuna jamaa mmoja alinihadithia yupo serikalinj eti wanaenda short course nje kila wanapotaka wanajipangia tu ,na kwa siku wanalipwa almost 1m nikasema aise hii nchi inaliwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…