Umoja wa Ulaya na wenyewe unajiandaa kupitia upya sera ya miasada wanayotoa

Umoja wa Ulaya na wenyewe unajiandaa kupitia upya sera ya miasada wanayotoa

Tozo Kwa wananchi ni upuuzi wanapaswa kupunguza matumizi ya serikali.
Hujui unachoongea!
Austerity inaua uchumi! Baadaya recession ya Marekani ya 2008 sera za Obama za kuongeza public spending ndizo ziliinua uchumi uleni!

Spending cuts inanufaisha matajiri wakubwa tu! Sio kila unachokisikia ni sahiahi!
 
Uvivu wa watawala katika kuwaza na kubuni vyanzo vya mapato hupelekea kukimbilia kwenye kutoza wananchi.

Katika fikra ya mtawala wa kiafrika ni kuwa mwananchi ni ng'ombe wake wa maziwa.

Na kila tozo mpya inapokuja ni faida kwa walio mamlakani maana wanajichitoea watakavyo.
Ungekuuwa wewe ni kiongozi ungebuni chanzo kipi kipya cha mapato?
 
Tozo Kwa wananchi ni upuuzi wanapaswa kupunguza matumizi ya serikali.
Kwa serikali ipi mkuu? Hii?
Ama hizi za kwetu ukanda huu wa afrika?
Wanataka hata Ile elfu Moja ya fukara wachukue hapo 900, wamuachie 100.
Zile rasilimali haziguswi mana zimewekwa kama bond kwenye mikataba ya kifisadi na maanchi ya arabuni na kwingineko...
 
Wathirika katika hili sakata ni wengi:
1. Waajiriwa
2. Watoa huduma
3. Serikali
4. Wanufaika/wananchi

Flow ya pesa itashuka na kuathiri kundi kubwa sana. Sio kilio cha mmoja, ila ni vema sasa serikali ikajipanga kuishi bila misaada, kupunguza government spending, kurestructure senior officials' salaries ili kuendana na maisha halisi ya mtanzania
Niliuliza swali kwenye thread kwamba serikali imejipanga vipi, naona Kuna namna moderators hua wanafanya thread isomwe na watu wachache nafikiri Wana hio system, Sasa sjui na wao ni wanufaika wa hii misaada kwamba wamechukia ama vipi
 
Lakini ni kama tuna hofu sana wakati Trump amesema ni miezi mitatu tu, maana yake baada ya hapo misaada itaendekea, labda kwa masharti tofauti, au kina kitu sijakipata vizuri?

Misaada haijafutwa, imesitishwa kwa muda mfupi
 
Back
Top Bottom