Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
Tuwatoze kodi?Sasa kina Samia wanaotegemea nusu na robo ya budget ya taifa itoke kwenye misaada si ndio wataanza kututoza mpaka kodi ya kuzagamuana.
Tujiandae na tozo mpya na fine mpya za makosa ili tu kufidia misaada watakayoikosa.
Kama namuona Mwigulu na tai yake ya bendera akikuna bichwa kuvumbua tozo mpya.