Umoja wa Ulaya na wenyewe unajiandaa kupitia upya sera ya miasada wanayotoa

N

Nakama ana diploma au digree ndo umwonee huruma kabisaa mana nssf hawatompa pesa yote watampa kwa mfumo wwa kikokotooo, tabu nyingne itampata
Mashirika ya kimataifa hawakatwi pension, wanachukua mzigo wote, ukifukuzwa ule mshahara wako wa mwisho ndio huohuo, na kwa sababu ni ghafra wapo kwenye dhiki kubwa sana, heri wangejua angalau miezi sita kabla wangejiandaa
 
33% kwa mwezi..
emoji23.png
%

Mashirika ya kimataifa hawakatwi pension, wanachukua mzigo wote, ukifukuzwa ule mshahara wako wa mwisho ndio huohuo, na kwa sababu ni ghafra wapo kwenye dhiki kubwa sana, heri wangejua angalau miezi sita kabla wangejiandaa
Nashukuru kunielimisha mkuu nlikua sifaham 🙏
 
Umoja wa Ulaya (EU) unatarajia kufanya mapitio ya mpango wake wa misaada ya kigeni ili kuendana na maslahi yake ya kisiasa huku ikikabiliwa na changamoto za bajeti, ongezeko la gharama za ulinzi, na tishio la ushuru kutoka Marekani, kulingana na ripoti ya Bloomberg.

Hatua hii inafuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, kusitisha sehemu kubwa ya msaada wa kigeni wa Marekani akidai kuwepo kwa ufisadi na matumizi mabaya ya fedha ndani ya USAID. Sasa msaada huo unakaguliwa kwa miezi mitatu ili kuhakikisha unaendana na maslahi ya Marekani.

Kwa upande wa EU, Tume ya Ulaya (EC) inatafakari kubadilisha mkakati wa misaada yake ya nje, ikilenga kutumia misaada hiyo kuimarisha maslahi yake ya kimkakati, kujenga ushirikiano thabiti, na kuhakikisha upatikanaji wa malighafi muhimu, Bloomberg iliripoti.

EU ni mtoa msaada mkubwa zaidi duniani, ikiwa ilitumia karibu euro bilioni 96 mwaka 2023. Sehemu kubwa ya misaada hiyo imeelekezwa Kiev tangu mzozo wa Ukraine ulipoanza mwaka 2022, ambapo jumla ya msaada wa EU kwa Ukraine sasa unakaribia dola bilioni 145.

Hata hivyo, baadhi ya nchi wanachama kama Slovakia na Hungary zimeacha kutoa msaada wa kijeshi kwa Ukraine na zinataka misaada zaidi kuelekezwa kwenye masuala ya ndani.

=====================================

The decision follows US President Donald Trump's move to freeze most American foreign aid, citing corruption and uncontrolled spending within USAID - Washington's primary tool for funneling political funding abroad. The bulk of US assistance is currently under a three-month review to ensure it "aligns with American interests."

Amid concerns over its increasingly stretched budget and competing priorities such as the Ukraine conflict, the European Commission (EC) is also looking to restructure its external aid program, Bloomberg reported on Monday, citing an internal draft document.

The bloc aims to take a more transactional approach to aid, using it to "secure strategic interests," strengthen alliances, and ensure access to critical raw materials while maintaining its reputation as a "reliable partner," the newspaper wrote.

The EU is collectively the world's largest provider of foreign aid, spending nearly 96 billion ($99 billion) in 2023, according to an EC report from last year. A significant portion of this aid has been directed to Kiev since the escalation of the Ukraine conflict in 2022, with total EU contributions now nearing $145 billion, according to the EC.

Several EU member states, including Slovakia and Hungary, have halted military aid to Kiev and called for redirecting further Ukraine-related assistance toward domestic concerns.

Source: Big News Network
Itatuumiza maana projects nyingi zilishaanza ila tutaelewana tu. Iko siku tutaongea lugha moja
 
Utakubali vipi kuibiwa kiurahisi na Wazungu?
Kwani nchi yenu haina Walinzi wa kulinda huko mipakani mwake na kwenye mabenki yake? Hakuna walinzi huko?
Unaemtegemea alinde rasilimali anashirikiana na mwizi gizani😁 unafikiri utafanya nini katika situation ya namna hiyo.
 
Umoja wa Ulaya (EU) unatarajia kufanya mapitio ya mpango wake wa misaada ya kigeni ili kuendana na maslahi yake ya kisiasa huku ikikabiliwa na changamoto za bajeti, ongezeko la gharama za ulinzi, na tishio la ushuru kutoka Marekani, kulingana na ripoti ya Bloomberg.

Hatua hii inafuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, kusitisha sehemu kubwa ya msaada wa kigeni wa Marekani akidai kuwepo kwa ufisadi na matumizi mabaya ya fedha ndani ya USAID. Sasa msaada huo unakaguliwa kwa miezi mitatu ili kuhakikisha unaendana na maslahi ya Marekani.

Kwa upande wa EU, Tume ya Ulaya (EC) inatafakari kubadilisha mkakati wa misaada yake ya nje, ikilenga kutumia misaada hiyo kuimarisha maslahi yake ya kimkakati, kujenga ushirikiano thabiti, na kuhakikisha upatikanaji wa malighafi muhimu, Bloomberg iliripoti.

EU ni mtoa msaada mkubwa zaidi duniani, ikiwa ilitumia karibu euro bilioni 96 mwaka 2023. Sehemu kubwa ya misaada hiyo imeelekezwa Kiev tangu mzozo wa Ukraine ulipoanza mwaka 2022, ambapo jumla ya msaada wa EU kwa Ukraine sasa unakaribia dola bilioni 145.

Hata hivyo, baadhi ya nchi wanachama kama Slovakia na Hungary zimeacha kutoa msaada wa kijeshi kwa Ukraine na zinataka misaada zaidi kuelekezwa kwenye masuala ya ndani.

=====================================

The decision follows US President Donald Trump's move to freeze most American foreign aid, citing corruption and uncontrolled spending within USAID - Washington's primary tool for funneling political funding abroad. The bulk of US assistance is currently under a three-month review to ensure it "aligns with American interests."

Amid concerns over its increasingly stretched budget and competing priorities such as the Ukraine conflict, the European Commission (EC) is also looking to restructure its external aid program, Bloomberg reported on Monday, citing an internal draft document.

The bloc aims to take a more transactional approach to aid, using it to "secure strategic interests," strengthen alliances, and ensure access to critical raw materials while maintaining its reputation as a "reliable partner," the newspaper wrote.

The EU is collectively the world's largest provider of foreign aid, spending nearly 96 billion ($99 billion) in 2023, according to an EC report from last year. A significant portion of this aid has been directed to Kiev since the escalation of the Ukraine conflict in 2022, with total EU contributions now nearing $145 billion, according to the EC.

Several EU member states, including Slovakia and Hungary, have halted military aid to Kiev and called for redirecting further Ukraine-related assistance toward domestic concerns.

Source: Big News Network
Akina Tundu Lissu wataathirika na kutupunguzia vibweka vya kisiasa kwa kutegemea hisani za Brussels wao na familia zao.....

Dunia inakwenda kubadilika......

#Tanzania kwanza na maslahi yake kwanza!!
 
Alaaniwe Putin na vita vyake vya uvamizi Ukraine.
Ilaaniwe Russia.
Walaaniwe mafisadi ya USAID yaliyokuwa yanatumia misaada kama kichaka Cha kupiga pesa pia walaaniwe wafanyabiashara wa silaha wa marekani waliokuwa wanaforce Ukraine ijiunge NATO ili waiuzie silaha
 
Back
Top Bottom