Tuwatoze kodi?Sasa kina Samia wanaotegemea nusu na robo ya budget ya taifa itoke kwenye misaada si ndio wataanza kututoza mpaka kodi ya kuzagamuana.
Tujiandae na tozo mpya na fine mpya za makosa ili tu kufidia misaada watakayoikosa.
Kama namuona Mwigulu na tai yake ya bendera akikuna bichwa kuvumbua tozo mpya.
Tatizo ni viongozi wetu hawana uchungu kabisa na nchi na uroho na tamaa, na hawa wazungu wanajua akili zetu ndio maana wanatichezeaHapo ukute wanafanya review ni nchi zipi zina mali za kutosha.
The man was ahead of time, hakueleweka!!Njiti moja ya Kiberiti huweza kuunguza ekari milioni 20 Kwa sekunde.
Alianza Trump, sasa EU
Baadaye hadi China na Urusi watafanya hayo
Marehemu JPM aliwahi kusema, hatuna Mjomba Wala shangazi wa kutuletea fedha za Bure
Let's focus kujenga mazoea ya Kujitegemea
Naafiki.Ni jambo ambalo litajenga discipline ya matumizi kwa viongozi wetu na itapunguza wizi na ubadhirifu
mdogo mdogo ataeleweka mara $99 billion ya sasa.The man was ahead of time, hakueleweka!!
Marehemu JPM aliwahi kusema, hatuna Mjomba Wala shangazi wa kutuletea fedha za Bure
ungemalizia kabisa, "mchape kazi sasa Watanzania"
Utakubali vipi kuibiwa kiurahisi na Wazungu?$99 billion ni pesa mdogo sana kulinganisha na pesa inayotoka huku kwenda kwao.
Wametuibia sana hawa Wazungu
Let them have it
unayo majibu sema unapuuza.Utakubali vipi kuibiwa kiurahisi na Wazungu?
Kwani nchi yenu haina Walinzi wa kulinda huko mipakani mwake na kwenye mabenki yake? Hakuna walinzi huko?
Ubaya hii misaada inaishia kwenye mifuko ya watu wachache ndio maana bora wasilete tu, si unakumbuka magufuli aliweka ndani wale jamaa wa stanbic waliokuwa wanacheza na interest rates za mikopo ya serikali, hela nyingine zikawa wanakula wao, sasa watu wangapi wanakula hizo pesa hadi leoHii sera ni nzuri ili watu wafanye kazi, hii biashara ya misaada na kuitumia vibaya,iishe
Utakufa na hasira ww lohMwafrika ni kiumbe mpumbavu sana.
Anategemea kufanikiwa kwa kupewa misaada tu.
Wakati wazungu wanahangaika kutafuta solutions za matatizo mbalimbali hapa duniani.
Miafrika ipo bize kwenye ngono na kuzaliana kama mapanya.
Kazi kubwa ya watu weusi ni kuongeza umaskini duniani kwa kuzaliana