Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Hujui unachoongea!Tozo Kwa wananchi ni upuuzi wanapaswa kupunguza matumizi ya serikali.
Walaaniwe wezi,mafisadi,wavivu na wazembe wetu bila kuwasahau chawaAlaaniwe Putin na vita vyake vya uvamizi Ukraine.
Ilaaniwe Russia.
Kabisa MkuuThe man was ahead of time, hakueleweka!!
Wataumia "watawaliwa" tu,watawala sidhaniUgali moto mboga moto!
Tawala za kiAfrika safari hii zitaisoma namba!
Don't vomit your nonsense.Utakufa na hasira ww loh
Ushaona mizungu ikikasirika? Bado?
Kajitizame kwenye kioo ujione🤣🤣🤣🤣🤣
Nakama ana diploma au digree ndo umwonee huruma kabisaa mana nssf hawatompa pesa yote watampa kwa mfumo wwa kikokotooo, tabu nyingne itampataIshakuwa kamzozo kuna mwanangu mmoja jana naona alikuwa anatrip za NSSF kama mkichaa.Mungu awasaidie.
Hahahahhaha mtasema yote naon mbabe wa Dunia anajulikana sasaAlaaniwe Putin na vita vyake vya uvamizi Ukraine.
Ilaaniwe Russia.
Ungekuuwa wewe ni kiongozi ungebuni chanzo kipi kipya cha mapato?Uvivu wa watawala katika kuwaza na kubuni vyanzo vya mapato hupelekea kukimbilia kwenye kutoza wananchi.
Katika fikra ya mtawala wa kiafrika ni kuwa mwananchi ni ng'ombe wake wa maziwa.
Na kila tozo mpya inapokuja ni faida kwa walio mamlakani maana wanajichitoea watakavyo.
kufungua madanguro na kusajili makahaba wote.Ungekuuwa wewe ni kiongozi ungebuni chanzo kipi kipya cha mapato?
You're genius 🤔🚮kufungua madanguro na kusajili makahaba wote.
Duuh .naona mifuko ya hifadhi ya jamii itakua bize sana mwaka huu.Jana shirika EGPAF wamekula terminations wote na office zote zimefungwa rasmi kuanzia tarehe 10 February 2025.
Kwa serikali ipi mkuu? Hii?Tozo Kwa wananchi ni upuuzi wanapaswa kupunguza matumizi ya serikali.
Niliuliza swali kwenye thread kwamba serikali imejipanga vipi, naona Kuna namna moderators hua wanafanya thread isomwe na watu wachache nafikiri Wana hio system, Sasa sjui na wao ni wanufaika wa hii misaada kwamba wamechukia ama vipiWathirika katika hili sakata ni wengi:
1. Waajiriwa
2. Watoa huduma
3. Serikali
4. Wanufaika/wananchi
Flow ya pesa itashuka na kuathiri kundi kubwa sana. Sio kilio cha mmoja, ila ni vema sasa serikali ikajipanga kuishi bila misaada, kupunguza government spending, kurestructure senior officials' salaries ili kuendana na maisha halisi ya mtanzania
Madini na malighafi ni si haki zao nadhani nasitusitishe kupitia mikataba yao...Maisha hayajawahi kuwa marahisi.
msaada sio haki yako.
33% kwa mwezi..[emoji23]N
Nakama ana diploma au digree ndo umwonee huruma kabisaa mana nssf hawatompa pesa yote watampa kwa mfumo wwa kikokotooo, tabu nyingne itampata
Nihatar kuna mwana tulikua tuna tinga nae campun flan mrad ukasmama akasema akachukue chake nssf apate mtaj kilichotokea swezi kusimulia33% kwa mwezi..[emoji23]