Umoja wa Ulaya na wenyewe unajiandaa kupitia upya sera ya miasada wanayotoa

N

Nakama ana diploma au digree ndo umwonee huruma kabisaa mana nssf hawatompa pesa yote watampa kwa mfumo wwa kikokotooo, tabu nyingne itampata
Mashirika ya kimataifa hawakatwi pension, wanachukua mzigo wote, ukifukuzwa ule mshahara wako wa mwisho ndio huohuo, na kwa sababu ni ghafra wapo kwenye dhiki kubwa sana, heri wangejua angalau miezi sita kabla wangejiandaa
 
Itatuumiza maana projects nyingi zilishaanza ila tutaelewana tu. Iko siku tutaongea lugha moja
 
Utakubali vipi kuibiwa kiurahisi na Wazungu?
Kwani nchi yenu haina Walinzi wa kulinda huko mipakani mwake na kwenye mabenki yake? Hakuna walinzi huko?
Unaemtegemea alinde rasilimali anashirikiana na mwizi gizani😁 unafikiri utafanya nini katika situation ya namna hiyo.
 
Akina Tundu Lissu wataathirika na kutupunguzia vibweka vya kisiasa kwa kutegemea hisani za Brussels wao na familia zao.....

Dunia inakwenda kubadilika......

#Tanzania kwanza na maslahi yake kwanza!!
 
Alaaniwe Putin na vita vyake vya uvamizi Ukraine.
Ilaaniwe Russia.
Walaaniwe mafisadi ya USAID yaliyokuwa yanatumia misaada kama kichaka Cha kupiga pesa pia walaaniwe wafanyabiashara wa silaha wa marekani waliokuwa wanaforce Ukraine ijiunge NATO ili waiuzie silaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…