Umoja wa Ulaya waishitaki Hungary kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu kwa kuwanyima uhuru mashoga/LGBT

Umoja wa Ulaya waishitaki Hungary kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu kwa kuwanyima uhuru mashoga/LGBT

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Kwa Ulaya hilo ni kosa kubwa sana, yaani kuwanyima uhuru mashoga kuongelea hadharani uchafu wao!! Lakini hili la hangary linashangaza zaidi, iko hivi: Hungary ilipitisha sheria ya kuwalinda watoto chini ya miaka 18 dhidi ya propaganda za mashoga. Walizuia kuongea au kuwaonesha au kuwafundisha watoto mambo ya ushoga. Hilo ndilo kosa la Hungary kwa macho ya ulaya!! Wanadai eti watoto wamenyimwa haki ya kuona na kujifunza mambo yahusiyanayo na ushoga!!

EU Commission sues Hungary​

Brussels has targeted Budapest for alleged violations of LGBT rights and freedom of speech.
The European Commission has referred Hungary to the Court of Justice over alleged violations of LGBT rights and freedom of speech. The move was announced on Friday as part of the Commission's regular release of infringement decisions.

Budapest was targeted over its controversial Children Protection Act, a law originally designed to tackle pedophilia and generally safeguard children’s wellbeing. The law was amended last year to ban the display of homosexual content or gender change in education programs for those under 18 or in media that reaches minors.

While the amendment has been harshly criticized by multiple rights groups as discriminatory, Hungary’s ruling party Fidesz insisted it was needed to shield children from pedophilia.

Hivi kosa la Hungary ni lipi hapo? Nilitegemea angepongezwa kwa kuwalinda watoto, kinyume chake anaambiwa anavunja haki za mashoga/LGBT+
 
Watu wapo chumbani wanazibuana wewe inakuuma nini ? ndio nyinyi wafuasi wa chabo
 
Hiyo ni vita ya kisiasa.. hungary anawapinga waziwazi umoja wa ulaya kutomwekea vikwazo urusi.. mwenyewe yuko upande wa urusi ko hapo anatafutwa kwa kila namna ili ikiwezekana nae atengwe kama walivyofanya kwa rusia...
 
Hungary ilipitisha sheria ya kuwalinda watoto chini ya miaka 18 dhidi ya propaganda za mashoga. Walizuia kuongea au kuwaonesha au kuwafundisha watoto mambo ya ushoga. Hilo ndilo kosa la Hungary kwa macho ya ulaya!! Wanadai eti watoto wamenyimwa haki ya kuona na kujifunza mambo yahusiyanayo na ushoga!!
kuna thread niliipakia hapa juzi kuhusu agenda za ku promote ushoga kuna makenge yakanishambulia sana, anyway ngoja inyeshe tujue panapovuja. Ila tusipoamka mapema hii dunia itajaa machoko ndani ya muda mfupi tuu.
 
Back
Top Bottom