Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu.
EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU nayo kama nchi zingine za Ulaya na Amerika ikiwemo Marekani nao wameendelea kumpuuza Bwana yule kibaraka na maneno yake uzandiki juu ya Tanzania. Hivi karibuni tumeshuhudia Ujerumani, Sweden, Ubelgiji, Norway, Marekani, UK, na nchi zingine ntingi zikimimina misaada nchini Tanzania.
Wameamua kusonga mbele na sisi wanachi watanzania na siyo vibaraka. Viva Tanzania, Viva Rais Samia. Viva diplomasia ya Tanzania.
THE European Union (EU) has hailed reform efforts being made by the government, especially in the trade and investment, human rights and democracy, promising to continue cooperating with Tanzania to support its development endeavors.
www.ippmedia.com
View attachment 1991991
View attachment 1991992