Umoja wa Ulaya yaimwagia sifa Tanzania. Yaahidi kuendelea kumwaga mapesa

😁😁😁
FCXlH-zWYAAMQ4l.jpg
 
Mwenzio kachanganyikiwa baada ya kuona jitihada za makamu mwenyekiti wa chama chake, pamoja na yule beberu wao kugonga ukuta. Makamu mwenyekiti na beberu wao waliwaaminisha misukule yao kuwa Umoja wa ulaya utaiwekea vikwanzo na kuinyima misaada Tanzania. Sasa hali imekuwa tofauti na walivyotarajia.
Umesema vyema mkuu. Walilishwa tango pori.
 
Tunasifia miranda kumwagiwa mapesa kutoka nje something should be wrong na akili zetu watanzania na viongozi wanaotuongoza

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums
Tunasifia miranda kumwagiwa mapesa kutoka nje something should be wrong nas akili zetu watanzania na viongozi wanaotuongoza

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app

Tunasifia miranda kumwagiwa mapesa kutoka nje something should be wrong na akili zetu watanzania na viongozi wanaotuongoza

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile
Tunasifia miranda kumwagiwa mapesa kutoka nje something should be wrong na akili zetu watanzania na viongozi wanaotuongoza

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Something is seriously wrong with Lissu who is lobbying the EU officials and European capitals to intensify their pressure to Tanzania and stop their development assistances Lissu has lost his edges.

Kila mtu sasa hivi uko nje anampuuza. Huku Tanzania ndiyo basi kabisa watu hawana habari naye. Kwenye Jamhuri ya mitandao pia kila mtu anagombana naye.
 
Ngoja waje wachezaji wa Pingapinga FC.

Wachezaji wa “dona kantri” mmenywea kumbe wapiga mizinga na wapenda mitelezo. Niambie kama umeshasikia “mabeberu” kutoka kwa kiongozi wa juu wa nchi toka 17 March 2021.

Mmezoea kuishi kwa propaganda, fitna, ghiliba na uongo!

Onyo: Mimi sijitambui kama pingapinga bali mtu aliye na mawazo huru. Uliyepangisha wadhalimu akilini mwako uliaminishwa kuwa hawa unaoshangilia leo wakimwaga mapesa ndio wale wale mabeberu waliokuwa wanatutakia mabaya, wenye wivu na rasilimali zetu, nk.

Pathetic!
 
Umetema povu kama Mama mwenye nyumba,relax,hii ni jf,sio kila anayecomment ni shabiki wa mambo ya kisiasa au shabiki wa vyama vya siasa.
 
Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu.

EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU nayo kama ilivyo kwa nchi wanachama wake, nchi zingine za Ulaya zisizo wanachama wa EU na zile za bara la Amerika ikiwemo Marekani nao wameendelea kumpuuza Bwana yule kibaraka na maneno yake uzandiki juu ya Tanzania.

Hivi karibuni tumeshuhudia Ujerumani, Sweden, Ubelgiji, Norway, Marekani, UK, na nchi nyingine nyingi zikimimina misaada nchini Tanzania.

Wameamua kusonga mbele na sisi wanachi watanzania na siyo vibaraka. Viva Tanzania, Viva Rais Samia. Viva diplomasia ya Tanzania.

View attachment 1991991
View attachment 1991992
View attachment 1992015
View attachment 1992016
Si hawa ndio tulikuwa tunawaita makaburu hivi karibuni? Na kusema tutashirikiana sio kusifia. Safari bado ndefu.

Amandla...
 
Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu.

EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU nayo kama ilivyo kwa nchi wanachama wake, nchi zingine za Ulaya zisizo wanachama wa EU na zile za bara la Amerika ikiwemo Marekani nao wameendelea kumpuuza Bwana yule kibaraka na maneno yake uzandiki juu ya Tanzania.

Hivi karibuni tumeshuhudia Ujerumani, Sweden, Ubelgiji, Norway, Marekani, UK, na nchi nyingine nyingi zikimimina misaada nchini Tanzania.

Wameamua kusonga mbele na sisi wanachi watanzania na siyo vibaraka. Viva Tanzania, Viva Rais Samia. Viva diplomasia ya Tanzania.

View attachment 1991991
View attachment 1991992
View attachment 1992015
View attachment 1992016
Haya ya kutegemeategemea misaada JIWE alikuwa hayakubali kabisa!
 
Ni kawaida ya watanzania kupenda vya bure

Misaada misaada ndo watanzania wanapenda utadhani ni mayatima

Amini usiamini vya bure vina makuu yake

Taifa tunaliweka rehani kwa vitu vya dezo

Hapo ndo tunapo ikumbuka kauli ya Mwendazake sisi sio masikini tunatumiwa tu wazungu

Na tulipoambiwa tufanye kazi ikawa chuki
 
Wachezaji wa “dona kantri” mmenywea kumbe wapiga mizinga na wapenda mitelezo. Niambie kama umeshasikia “mabeberu” kutoka kwa kiongozi wa juu wa nchi toka 17 March 2021.

Mmezoea kuishi kwa propaganda, fitna, ghiliba na uongo!

Onyo: Mimi sijitambui kama pingapinga bali mtu aliye na mawazo huru. Uliyepangisha wadhalimu akilini mwako uliaminishwa kuwa hawa unaoshangilia leo wakimwaga mapesa ndio wale wale mabeberu waliokuwa wanatutakia mabaya, wenye wivu na rasilimali zetu, nk.

Pathetic!
Mchezaji wa Pingapinga FC naona unaupiga mwingi.
😀😀😀😀
 
Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu.

EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU nayo kama ilivyo kwa nchi wanachama wake, nchi zingine za Ulaya zisizo wanachama wa EU na zile za bara la Amerika ikiwemo Marekani nao wameendelea kumpuuza Bwana yule kibaraka na maneno yake uzandiki juu ya Tanzania.

Hivi karibuni tumeshuhudia Ujerumani, Sweden, Ubelgiji, Norway, Marekani, UK, na nchi nyingine nyingi zikimimina misaada nchini Tanzania.

Wameamua kusonga mbele na sisi wanachi watanzania na siyo vibaraka. Viva Tanzania, Viva Rais Samia. Viva diplomasia ya Tanzania.

View attachment 1991991
View attachment 1991992
View attachment 1992015
View attachment 1992016
Kwasababu wanawapa pesa,jina la mabeberu mmelifuta?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kupewa pesa 'za bure' sio jambo la kushangilia hata kidogo, kama unaelewa ninachokizungumza.

Ukikaa Ulaya au Marekani ukaona wanavyobani watu wao kukusanya kodi ili kukabiliana na umasikini wa ndani ya nchi zao, utashangaa kwa nini wana sera za kutoa 'misaada' ya fedha kwa nchi za Afrika.

Nchi yetu ni lazima ipambane, walau iweze kujitosheleza kwa bajeti yake. Na hilo halijalishi Rais gani yuko madarakani.

Kushangilia 'misaada' ya fedha na vitu, iwe inatoka Ulaya, China, Marekani n.k., ni dalili ya uelewa mdogo wa maswala ya siasa za kimataifa.
 
Anaetengeneza pesa hajui uchungu wa kuitafuta sababu yeye anaprint sisi tunaifanyia kazi. Unalima upate mazao uuze mwenzako ana print hela kununua mazao yako
Watu wengi hawajui logic ya pesa😂😂 , we unahis printer tunashindwa kuinunua😂
 
Mi nafikiri wamempuuza tundu na yule beberu wake ambao walikuwa wanapita kwa mabeberu wenzake kuwaomba watuwekee vikwazo vya kiuchumi, na kutunyima misaada ili kuikomoa serikali na wananchi wake. Mzungu huwa hafanyi maamuzi kwa kufuata mashinikizo ya wanasiasa uchwara waliofilisika kihoja, bali hufanya maamuzi kwa kufuata utaratibu maalum unaoendana na sheria zao.

Kwa hiyo hilo la kwamba sisi ni donor country tena walikuwa wanaambiwa na rais wetu nalo wamelipuuza?
 
Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu.

EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU nayo kama ilivyo kwa nchi wanachama wake, nchi zingine za Ulaya zisizo wanachama wa EU na zile za bara la Amerika ikiwemo Marekani nao wameendelea kumpuuza Bwana yule kibaraka na maneno yake uzandiki juu ya Tanzania.

Hivi karibuni tumeshuhudia Ujerumani, Sweden, Ubelgiji, Norway, Marekani, UK, na nchi nyingine nyingi zikimimina misaada nchini Tanzania.

Wameamua kusonga mbele na sisi wanachi watanzania na siyo vibaraka. Viva Tanzania, Viva Rais Samia. Viva diplomasia ya Tanzania.

View attachment 1991991
View attachment 1991992
View attachment 1992015
View attachment 1992016
20211031_082443.png
 
Kupewa pesa 'za bure' sio jambo la kushangilia hata kidogo, kama unaelewa ninachokizungumza.

Ukikaa Ulaya au Marekani ukaona wanavyobani watu wao kukusanya kodi ili kukabiliana na umasikini wa ndani ya nchi zao, utashangaa kwa nini wana sera za kutoa 'misaada' ya fedha kwa nchi za Afrika.

Nchi yetu ni lazima ipambane, walau iweze kujitosheleza kwa bajeti yake. Na hilo halijalishi Rais gani yuko madarakani.

Kushangilia 'misaada' ya fedha na vitu, iwe inatoka Ulaya, China, Marekani n.k., ni dalili ya uelewa mdogo wa maswala ya siasa za kimataifa.
Ndugu, wanachoturudishia ni aina tu ndogo ya compasation kwa dhuluma walizotufanyia waafrika huko nyuma wakati wa utumwa na ukoloni. Nakushauri soma kitabu cha Walter Rodney on how Europe underdeveloped Africa. Hivyo tunachopokea ukiiangalia kwa jicho lingine ni sehemu ya haki yetu na siyo msaada.
 
Back
Top Bottom