Waafrika wameisha sahau ni lini walikua free bila pesa na bado maisha yalikua mazuri kuliko ha ya ya pesa[emoji23][emoji23]Pesa ni dhahabu, mazao, mafuta n.k..
Wakubwa wanakuambia pesa ni dollar[emoji2]
Wazungu wa$3nge sana, basi tu
Waafrika wameisha sahau ni lini walikua free bila pesa na bado maisha yalikua mazuri kuliko ha ya ya pesa[emoji23][emoji23]You know what you don't Know
Waafrika wameisha sahau ni lini walikua free bila pesa na bado maisha yalikua mazuri kuliko ha ya ya pesa[emoji23][emoji23]Hahaha
Mkuu unaonekana hujafahamu vyema uchumi wa dunia unavyofanya kazi. Nani kakuambia nchi zenye uchumi mkubwa duniani hazizalishi, badala yake wao ni ku print tu pesa na kugawa? Jifunze vizuri uchumi unaona kuwa production level ni kubwa zaidi kwenye hizo nchi kuliko sisi.Anaetengeneza pesa hajui uchungu wa kuitafuta sababu yeye anaprint sisi tunaifanyia kazi. Unalima upate mazao uuze mwenzako ana print hela kununua mazao yako.
Afu tukipewa misaada tunashangilia kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni lini ulijifunza historia ya utumwa na ukoloni. Na nilini mtu aliekutawala akakufundisha the real economics. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unaonekana hujafahamu vyema uchumi wa dunia unavyofanya kazi. Nani kakuambia nchi zenye uchumi mkubwa duniani hazizalishi, badala yake wao ni ku print tu pesa na kuwagawa? Jifunze vizuri uchumi unaona kuwa production level ni kubwa zaidi kwenye hizo nchi kuliko sisi.
Kusema kuwa sisi ni dona kantri?Kwa hiyo Bwana yule alitupeleka chaka.
Hahahaa! Watapinga wakisema sisi ni dona kantreNgoja waje wachezaji wa Pingapinga FC.
Partners nyie mnawasaidia nini?🤣Sìsi ni partners siyo donee. Hivyo siyo omba omba
Ndivyo unavyobadili rangi kama Mzee wa vilipuzi sio⛹️.Nakushairi uende kwanza shule. EU siyo nchi na Ulaya siyo nchi.
Kwahiyo jitihada za tundu L, pamoja na yule beberu wake zimegonga mwamba? Si nilisikia jamaa alitembea nchi zote huko ubeberuni akiziomba ziiwekee vikwazo vya kiuchumi na kuinyima misaada nchi yake ili iweze kufeli katika jitihada zote za kimaendeleo!Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu.
EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU nayo kama nchi zingine za Ulaya na Amerika ikiwemo Marekani nao wameendelea kumpuuza Bwana yule kibaraka na maneno yake uzandiki juu ya Tanzania. Hivi karibuni tumeshuhudia Ujerumani, Sweden, Ubelgiji, Norway, Marekani, UK, na nchi zingine ntingi zikimimina misaada nchini Tanzania.
Wameamua kusonga mbele na sisi wanachi watanzania na siyo vibaraka. Viva Tanzania, Viva Rais Samia. Viva diplomasia ya Tanzania.
EU hails reform efforts, pledges more assistance
THE European Union (EU) has hailed reform efforts being made by the government, especially in the trade and investment, human rights and democracy, promising to continue cooperating with Tanzania to support its development endeavors.www.ippmedia.com
View attachment 1991991
View attachment 1991992
Nilivyoona umeandika, 'EU kama nchi nyingine za Ulaya', nina uhakika hili jukwaa siyo sahihi kwako.Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu.
EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU nayo kama nchi zingine za Ulaya na Amerika ikiwemo Marekani nao wameendelea kumpuuza Bwana yule kibaraka na maneno yake uzandiki juu ya Tanzania. Hivi karibuni tumeshuhudia Ujerumani, Sweden, Ubelgiji, Norway, Marekani, UK, na nchi zingine ntingi zikimimina misaada nchini Tanzania.
Wameamua kusonga mbele na sisi wanachi watanzania na siyo vibaraka. Viva Tanzania, Viva Rais Samia. Viva diplomasia ya Tanzania.
EU hails reform efforts, pledges more assistance
THE European Union (EU) has hailed reform efforts being made by the government, especially in the trade and investment, human rights and democracy, promising to continue cooperating with Tanzania to support its development endeavors.www.ippmedia.com
View attachment 1991991
View attachment 1991992
Nakushairi uende kwanza shule. EU siyo nchi na Ulaya siyo nchi.
Kwahiyo jitihada za tundu L, pamoja na yule beberu wake zimegonga mwamba? Si nilisikia jamaa alitembea nchi zote huko ubeberuni akiziomba ziiwekee vikwazo vya kiuchumi na kuinyima misaada nchi yake ili iweze kufeli katika jitihada zote za kimaendeleo
Nimerekenisha mkuu, nilitaka kusema EU kama ilivyo kwa nchi wanachama wake. EU siyo nchi. Ila nchi wanachama wake wanaweza kuwa na misimamo yao tofauti na EU as a bloc.Hebu rudia kusoma au edit ulichoandika huko juu maana unajichanganya mwenyewe
Umeandika mwenyewe
“EU nayo kama nchi zingine za Ulaya”
Nakushairi uende kwanza shule. EU siyo nchi na Ulaya siyo nchi.
Mi nafikiri wamempuuza tundu na yule beberu wake ambao walikuwa wanapita kwa mabeberu wenzake kuwaomba watuwekee vikwazo vya kiuchumi, na kutunyima misaada ili kuikomoa serikali na wananchi wake. Mzungu huwa hafanyi maamuzi kwa kufuata mashinikizo ya wanasiasa uchwara waliofilisika kihoja, bali hufanya maamuzi kwa kufuata utaratibu maalum unaoendana na sheria zao.Kwa hiyo wazungu wametupuuza wanaona sisi sio donor country ndio maana wanaendelea kutupatia misaada?
Bwana yule anapuuzwa nje na ndani ya Tanzania
Nimerekenisha mkuu, nilitaka kusema EU kama ilivyo kwa nchi wanachama wake. EU siyo nchi. Ila nchi wanachama wake wanaweza kuwa na misimamo yao tofauti na EU as a bloc.
Kutoka donor country na nchi ya viwanda hadi kusifia na kufurahia misaada na mikopo ya mabeberu. Waliokuwa wakiwaita hao wazungu mabeberu ni akina nani? Unaonekana lecture za Mzee Polepole haijakuingia hata kidogo.Ngoja waje wachezaji wa Pingapinga FC.
Sio kila anayechangia comment kwenye hizi thd basi ni shabiki wa mambo ya kisiasa,acha kukariri.Kutoka donor country na nchi ya viwanda hadi kusifia na kufurahia misaada na mikopo ya mabeberu. Waliokuwa wakiwaita hao wazungu mabeberu ni akina nani? Unaonekana lecture za Mzee Polepole haijakuingia hata kidogo.
Mwenzio kachanganyikiwa baada ya kuona jitihada za makamu mwenyekiti wa chama chake, pamoja na yule beberu wao kugonga ukuta. Makamu mwenyekiti na beberu wao waliwaaminisha misukule yao kuwa Umoja wa ulaya utaiwekea vikwanzo na kuinyima misaada Tanzania. Sasa hali imekuwa tofauti na walivyotarajia.Sio kila anayechangia comment kwenye hizi thd basi ni shabiki wa mambo ya kisiasa,acha kukariri.