Umoja wa Ulaya yaimwagia sifa Tanzania. Yaahidi kuendelea kumwaga mapesa

Umesema vyema mkuu. Walilishwa tango pori.
 
😁😁😁
View attachment 1992169

Tunasifia miranda kumwagiwa mapesa kutoka nje something should be wrong na akili zetu watanzania na viongozi wanaotuongoza

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums
Tunasifia miranda kumwagiwa mapesa kutoka nje something should be wrong nas akili zetu watanzania na viongozi wanaotuongoza

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app

Tunasifia miranda kumwagiwa mapesa kutoka nje something should be wrong na akili zetu watanzania na viongozi wanaotuongoza

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile
Tunasifia miranda kumwagiwa mapesa kutoka nje something should be wrong na akili zetu watanzania na viongozi wanaotuongoza

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Something is seriously wrong with Lissu who is lobbying the EU officials and European capitals to intensify their pressure to Tanzania and stop their development assistances Lissu has lost his edges.

Kila mtu sasa hivi uko nje anampuuza. Huku Tanzania ndiyo basi kabisa watu hawana habari naye. Kwenye Jamhuri ya mitandao pia kila mtu anagombana naye.
 
Ngoja waje wachezaji wa Pingapinga FC.

Wachezaji wa β€œdona kantri” mmenywea kumbe wapiga mizinga na wapenda mitelezo. Niambie kama umeshasikia β€œmabeberu” kutoka kwa kiongozi wa juu wa nchi toka 17 March 2021.

Mmezoea kuishi kwa propaganda, fitna, ghiliba na uongo!

Onyo: Mimi sijitambui kama pingapinga bali mtu aliye na mawazo huru. Uliyepangisha wadhalimu akilini mwako uliaminishwa kuwa hawa unaoshangilia leo wakimwaga mapesa ndio wale wale mabeberu waliokuwa wanatutakia mabaya, wenye wivu na rasilimali zetu, nk.

Pathetic!
 
Umetema povu kama Mama mwenye nyumba,relax,hii ni jf,sio kila anayecomment ni shabiki wa mambo ya kisiasa au shabiki wa vyama vya siasa.
 
Si hawa ndio tulikuwa tunawaita makaburu hivi karibuni? Na kusema tutashirikiana sio kusifia. Safari bado ndefu.

Amandla...
 
Haya ya kutegemeategemea misaada JIWE alikuwa hayakubali kabisa!
 
Ni kawaida ya watanzania kupenda vya bure

Misaada misaada ndo watanzania wanapenda utadhani ni mayatima

Amini usiamini vya bure vina makuu yake

Taifa tunaliweka rehani kwa vitu vya dezo

Hapo ndo tunapo ikumbuka kauli ya Mwendazake sisi sio masikini tunatumiwa tu wazungu

Na tulipoambiwa tufanye kazi ikawa chuki
 
Mchezaji wa Pingapinga FC naona unaupiga mwingi.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwasababu wanawapa pesa,jina la mabeberu mmelifuta?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kupewa pesa 'za bure' sio jambo la kushangilia hata kidogo, kama unaelewa ninachokizungumza.

Ukikaa Ulaya au Marekani ukaona wanavyobani watu wao kukusanya kodi ili kukabiliana na umasikini wa ndani ya nchi zao, utashangaa kwa nini wana sera za kutoa 'misaada' ya fedha kwa nchi za Afrika.

Nchi yetu ni lazima ipambane, walau iweze kujitosheleza kwa bajeti yake. Na hilo halijalishi Rais gani yuko madarakani.

Kushangilia 'misaada' ya fedha na vitu, iwe inatoka Ulaya, China, Marekani n.k., ni dalili ya uelewa mdogo wa maswala ya siasa za kimataifa.
 
Anaetengeneza pesa hajui uchungu wa kuitafuta sababu yeye anaprint sisi tunaifanyia kazi. Unalima upate mazao uuze mwenzako ana print hela kununua mazao yako
Watu wengi hawajui logic ya pesaπŸ˜‚πŸ˜‚ , we unahis printer tunashindwa kuinunuaπŸ˜‚
 

Kwa hiyo hilo la kwamba sisi ni donor country tena walikuwa wanaambiwa na rais wetu nalo wamelipuuza?
 
 
Ndugu, wanachoturudishia ni aina tu ndogo ya compasation kwa dhuluma walizotufanyia waafrika huko nyuma wakati wa utumwa na ukoloni. Nakushauri soma kitabu cha Walter Rodney on how Europe underdeveloped Africa. Hivyo tunachopokea ukiiangalia kwa jicho lingine ni sehemu ya haki yetu na siyo msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…