OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Beberu la kijani mtaliua mwaka huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli ccm wamenyooka na wana adabuMtanyooka tu!
hata ikiwa chini ya mti tamko litatoka tu.Pale HQ ya Chaumma kwenye gereji ya mzee Rungwe mtatosha kweli?
Hao wote walivyokoswakoswa nyumba zao kupigwa mnada wakarudisha mpira kwa kipa wenyeweMuungano wakina lipumba na cheyo hauna maana
Mnahangaika kweli mara korosho mara muswada mara msaliti anahutubia UN. Dawa inawaingia sawasawa!Tumewatoa kwenye reli sasa wametoa hela za kununua mahindi
kwenye jamii za kistarabu hakuna neno kunyooka! ukiona kiongozi aliyechaguliwa kiraia anatumia maneno kunyoosha yye au vichaa wenzie ujue ana nia ya kuongoza kidicteta. kama unaweza soma namna mzee karume alivyoongoza zanzibar na kilichomkuta hapo 1972.Lakini mmenyooka!!
Nyie mnaingiwa na maniiMnahangaika kweli mara korosho mara muswada mara msaliti anahutubia UN. Dawa inawaingia sawasawa!
Mkulu amewaruhusu waongee na wana habari!