Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu, Mambo yanazidi kuwa mambo, chawa wengine hawa hapa!
====
Tukadhani jambo hili (utekaji) lipo Tanzania peke yake. Nazungumza haya kwasababu viongozi wenzetu wanasema wanahitaji uchunguzi, watu watoke nje. Huko ambako tunahitaji waje wenyewe huwa wanashughulikia na SMG – Amerika, ni nchi maarufu sana duniani.
Kwahiyo watu wasifikirie vitu hivi ni rahisi kuvipatia ufumbuzi wa haraka. Mara ya kwanza kakoswa risasi ya sikio, mara ya pili ni juzi, na wanajua kwamba kuna tatizo na wenyewe wanasisitiza mamlaka zichukue hatua kwaajili ya masuala hayo yasiweze kuwapata wanasiasa huko Amerika.
Kwahiyo suala hili ni suala mtambuka na nyeti sana, linahitaji akili nyingi, umakini mkubwa, kwaajili ya kuweza kulishughulikia. Mimi nazungumzia suala hili la tamko la Rais. Kwanza tutambue huyu ni Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT. Amekuwa mtu wa kwanza kabisa tar 8 kutoa tamko la namna ambavyo ameguswa na tukio la lile (kifo cha Ali Kibao).
Ilipaswa au nilifikiri kwa akili zangu au kwa maoni yangu Watanzania wangefanya maandamano ya amani ya kupongeza kauli ya Rais. Yule ni Mkuu wa Nchi. Kama Rais amekuwa mtu wa kwanza kukemea na kukerwa ilikuwa Watanzania matamko yao yaende kumpongeza Rais kama Mkuu wa nchi kwa kuguswa na matukio yanayoendelea.
Nayasema haya sababu matukio haya yanaonekana kama kuna ajenda inaandaliwa za kuchafuana au kuichafua nchi.