Pre GE2025 Umoja wa Vyama 13 vya Siasa: Tulidhani wananchi wangefanya Maandamano kumpongeza Rais kutoa kauli juu ya utekaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
KAAMUA MWENYEWE WAPI WEWEE,WE HUONI KILA ANAETAKA KUMCHALLANGE HAPO JUU ANAWAONDOA??
 
KAAMUA MWENYEWE WAPI WEWEE,WE HUONI KILA ANAETAKA KUMCHALLANGE HAPO JUU ANAWAONDOA??
Ww umeijua chadema juzi, hili jambo lilipigiwa kura enzi za jk, labda ww wa juzi hapa. Wanao vijua vyama nchi hii wanajua nn kilitokea.

Huwezi jichagua wakati sheria za usajili wa vyama vya siasa vinakataa na ni kinyume na sheria
 
LABDA WEWE BAVICHA NDIE AMBAE UMEIJUA CHADEMA JUZI,KUHUSU SUALA LA UDINI,UKANDA NA UKABILA CHADEMA NDIYO NGUZO ZAKE KUU.
 
Tatizo Raisi sasa maneno yake yamkuwa vijimaneno hakuna utekelezaji wowote
 
Mchezo mchafu uliojaa rafu!
 
Waaaambie nimewatusi
 
Kosa kiviita vyama vya upinzani 13

viitwe vyama 13 mshirika wa chama Cha mapinduzi
 
Njaa ikikimbilia kichwani ni hatari,,,Huondoa Utu
 
Hao wanawakilisha vyama gan na kutoka nchi gan ??? Nisaidien
 
Ndio wewe ndio hujaelewa, na kwa kichwa chako kilichojaa ukijani kijani huwezi kuelewa kamweee
Na atakae waelewa nyny ana matatizo ya akili ikawa nyinyi wenyew hamujielewi munataka nini mara maridhiano mara katiba mara bandar mara tanganyika mara hatutaki uchaguzi 😁😁
 
Watu wanawezaje kuwa na ujasiri kutoa tamko la kijinga hivi ,ni fedha za Makalla au suti aliowashonea.
Upuuzi wa karne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…